Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Bila kusahau uwezo wa kutengeneza Qrcode, logo, pamoja na post mbalimbali za mitandao ya kijamii kuanzia kwenye smooth skin, Editing, Denoise nk.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

1๏ธโƒฃ Adobe Acrobat Reader
Ni program Bora kabisa ya kuweza kufungua documents mbalimbali kupitia simu yako kwa urahisi,

ikiwa na Teknolojia ya AI Yenye uwezo wa kukusaidia kufanya kazi zako mbalimbali kwa ku summarize ujumbe mrefu kuwa mfupi kwa Kila documents yako.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

4๏ธโƒฃ Adobe Express Mobile
Hii ni app nzuri kama ilivyo Canva ila kwa hii ni balaa maana Inakusaidia kuediti picha zako kwa ajili ya mitandao ya kijamii na biashara kwa ujumla kuanzia Picha na videos,
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

2๏ธโƒฃ Adobe Photoshop Express
Nani asiyejua matumizi ya adobe jinsi ilivyokuwa maarufu kutokana na uwezo wake wa ku design mambo mbalimbali kupitia kompyuta,

sasa adobe Photoshop express inakupa uwezo wa editing tools kupitia images, videos, filtering and stitching videos.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

utaweza kuediti kwa urahisi sana bila kusahau ni Rahisi ku download kazi zako ulizozitengeneza kupitia simu yako.

Usisahau kutu follow kwa maujanja zaidi
@Bongotech255
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐˜€ ๐Ÿฐ ๐—•๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฑ๐—ผ๐—ฏ๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Kama unahitaji app Bora kwa ajili ya simu yako basi Leo nakuletea program Bora za Adobe ambazo ni muhimu kuwa Nazo kwenye simu yako.

Threads ni yako ๐Ÿš€
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Ulimwenguni mwaka 2024 Kulikua na jumla ya wanaanga 47 ambao active wanaofanya kazi kati yao wanaume ni 27 na Wanawake 20 ila toka miaka ya nyuma mpaka Leo tuna jumla zaidi ya wanaanga 2000 ulimwenguni.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kwa sasa ana umri wa miaka 15 ni mwanafunzi wa Florida Air Academy ambapo wanapata nafasi ya kusoma masomo ya marubani na safari za kwenda kwenye Sayari mbalimbali.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Lakini Tanzania kiuwalisia hatuna wanaanga wowote walishawahi au wanaotaka kupanga safari kuhusu masuala ya Anga โœ๏ธ.

Je tunakwama wapi ? ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Nchi za Afrika Ni Mwanaanga mmoja tu Mwanamke aliyeweza kuingia kwenye safari za kuingia Angani anaitwa Sada Sabry mwenye umri wa miaka 30 kutoka Egypt (Misri).
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kuna mtoto mmoja toka Tanzania ambaye Yuko Nasa anajifunza masuala ya Anga anaitwa Gideon Gidori anatamani kuwa Mwanaanga siku moja na kutaka kupanga safari za kwenda kwenye Sayari zingine.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Tanzania hatuna mwanaanga hata mmoja ambao wanajihusisha na safari za kwenye Sayari na wanaotambuliwa na Shirika la Anga la Kimataifa ya masuala ya Anga (NASA).
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—๐—ฒ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ?

Umeshawahi kujiuliza Tanzania tuna Wanaanga wowote waliowahi kufika Mwezini au safari yoyote ya Anga ?

Leo nitakujuza!!!
Threads ni yako
Repost
Like
Follow ๐Ÿš€
๐Ÿ†• Google Messages itakuwa na mabadiliko kidogo katika sehemu ya kuandika Meseji/SMS, na itakuwa na muundo mpya wa Material 3.

Sehemu ya kuandika meseji itakuwa na ukubwa kidogo. Pia, kitufe cha kurekodi sauti kitakuwa kikubwa na cha mviringo zaidi.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kwenye video moja iliyopostiwa mtandaoni sio ya kutengenezwa ni uhalisia ikionyesha Roboti akiwa na uwezo wa kupiga mapigo ya Kung Fu bila kusahau uwezo wa kuruka mateke ya kuzunguka nk.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Roboti huyo anauzwa kwa Dola $16,000 ikiwa na injini 23 mpaka 43 zinazomuwezesha kutembea, kukimbia, kurukaruka,

kupiga ngumi na hata kucheza.

Roboti awa tofauti na wale wa Magharibi kama vile Tesla na optimus Yenyewe G1 Ina uwezo wa kujilinda inapoona hatari mbele yake.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฟ๐—ผ๐—ฏ๐—ผ๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฎ

China sasa inazidi kuwa tishio ulimwenguni dhidi ya Teknolojia maana sio kwa kutuletea Roboti ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ anagonga ngumi kama Mohammed Ally โœ…
threads Iko chini
Repost
Like &
follow