Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kuna hii limited series inaitwa Zeroday
๐Ÿ‘1
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kwa sasa zimeundwa chache ili kufanyiwa majaribio

lakini zitatengenezwa Nyingi zaidi ifikapo mwishoni mwa Mwaka.

China wako juu sana โœ๏ธ
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ท๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐˜‚๐—ฐ๐—น๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟ ๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐˜€ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ฟ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ฒ๐—น๐—ฒ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ

Hakika china ni nchi iliyopo kwenye Dunia yake aiseee โœ๏ธ umeshawahi kujiuliza inawezekana vipi ๐Ÿ˜€??

Threads ni yako โœ…
๐Ÿ‘1
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Muundo wake wa uliyowekwa unatarajiwa kuwezesha ndege zisizo za Rubani kubani Angani kwa miaka mingi

na kusaidia kwenye matumizi ya kulinda maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda mrefu kuanzia Angani,

ardhini na kusafirisha vifaa vya matibabu.
๐Ÿ‘1
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kampuni ya Teknolojia ya Nishati mpya ya Betavolt iliyopo nchini China imezindua betri ndogo ya Nyuklia,

BV100 iliyoundwa kwa ajili ya ndege zisizo kuwa na Rubani na kuweka kukaa miaka 50 bila kuchajiwa zikiwa zimepaa.
๐Ÿ”ฅ1
๐Ÿ”ฅ Mwonekano wa controls za Galaxy Buds 3 katika mfumo mpya wa One UI 7 kwenye simu za Samsung
๐Ÿ†• Tecno imeonyesha simu nyembamba zaidi kuliko simu zote kwenye soko la simu kwa sasa.

Simu hii inaitwa Spark Slim, ni nyembamba zaidi ya Galaxy S25 Edge.

Simu hii ni prototype hivyo haitaanza kuuzwa ila Tecno imeitoa kuonyesha uwezo wake katika kuunda simu.
๐Ÿ†• Kuna uwezekano simu za brand ya Honor zitakuwa simu za kwanza kuwa na uwezo wa kutuma files kwenda kwa watumiaji wa iPhone kwa urahisi

Honor Share itafanya kazi na AirDrop? ๐Ÿ˜ณ
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

mfano kutoka kuwa chuma Kuwa na Ngozi kama binadamu ubunifu huu utakuja kuleta uwezo wa ajabu wa Roboti kuweza kubadilika kulingana na wakati.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Katika maendeleo ya Teknolojia Watafiti wamefanikiwa kuunda aina mpya ya mkusanyiko wa Roboti unaofanana na uwezo wa kujibadilisha kutoka hali Fulani kuwa kitu Fulani.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Teknolojia hii imekuja kuiga mchakato wa kibailogia inayozingatia katika ukuaji wa seli kwa kushikamana kupitia sumaku.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฅ๐—ผ๐—ฏ๐—ผ๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—บ๐—ผ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐—ฟ๐—บ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฟ

Inawezakana umeshtuka kidogo sio Naam wanasayansi wamekuja na Teknolojia mpya hatari ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Sumaku Hiyo inayozunguka Kila eneo la Roboti ambapo inampa uwezo wa kujibadilisha badilisha kutoka chuma kuwa ngozi ya kawaida au ngozi ya kawaida kuwa chuma.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Si mnakumbuka Ile Movie ya Terminator Adui mmoja aliyekua anaitwa sky alikua na uwezo wa kujibadilisha kutoka sura ya chuma kuwa na ngozi kama ya Binadamu ya Mtu Fulani sasa inakuja kwenye Maisha ya uhalisia.