Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ˜‰ Kama ulikua na hamu ya kuziona Sayari zile saba zikijipanga kwenye mstari mmoja mnyoofu basi Leo ndo itakua siku ya Mwisho kuziona kama bado hujaziona.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿš€ Kumbuka Sayari ambazo utaziona kwa uzuri kupitia macho yako ni Venus, Jupiter, Mars zitaonekana wazi Huku Sayari zingine utaziona lakini kwa Udhaifu hivyo itakupa umakini wa kutulia Angani ili kuziona

Unaachaje kutu follow sasa ๐Ÿ˜‰
Ebu fanya kutu follow chap
@Bongotech255
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—Ÿ๐—˜๐—ข ๐—ฆ๐—”๐—ฌ๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—œ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ฆ๐—”๐—•๐—” ๐—ญ๐—œ๐—ง๐—”๐—ข๐—ก๐—˜๐—ž๐—”๐—ก๐—” ๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—ช๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—จ๐—ง๐—”๐—ญ๐—œ๐—ข๐—ก๐—” ๐—ง๐—˜๐—ก๐—” ๐—›๐—”๐——๐—œ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฐ๐Ÿฌ

Kama ulipitwa na hii tukio bali Leo ndo siku ya kuweza kuona live tena ๐Ÿ”†

Threads ni yako
Repost
Like
Follow ๐Ÿ’ก
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ”† Utaweza kuziona kuanzia Mars,Jupiter, Uranus, Venus(Zuhura), Neptune, Mercury na Saturn (Zohari) ๐Ÿช huku muda Bora wa kutizama ni wakati wa jua linapozama mida ya jioni.