Microsoft Yazindua Chipu Inayoweza Kutufanya Kushuhudia Kompyuta za Quantum Ndani ya Miaka Michache.
🧑💻 👣 @Huduma 👈
Telegraph
Microsoft Yazindua Chipu Inayoweza Kutufanya Kushuhudia Kompyuta za Quantum Ndani ya Miaka Michache.
Microsoft imefanya kile ambacho wengi walidhani ni ndoto ya mbali—imeunda chipu yake ya kwanza ya quantum, Majorana 1, ambayo inaweza kuleta mageuzi makubwa katika kompyuta ndani ya miaka michache ijayo. Kwa mara ya kwanza, Microsoft inadai kuwa imeunda hali…
🆕 Mitsubishi imefanya mabadiliko katika gari zake za Outlander za mwaka huu 2025 na kuweka mabadiliko katika mwonekano na muundo wa model za Outlander.
Mitsubishi imeboresha mifumo ya Android Auto, Apple CarPlay, na viti vya mbele vyenye mfumo wa ubaridi.
Muonekano wa nje umeboreshwa kwa kuweka grille mpya, style mpya ya rims, na taa za nyuma. Ndani, kuna skrini kubwa ya inchi 12.3, sehemu ya kati imebadilishwa, na controls mpya
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
AI zinaweza kuzungumza pamoja na kuelewana vizuri kabisa. Imagine zinaweza ku-swicth mfumo wa mawasiliano na kuzungumza kwa codes https://twitter.com/ggerganov/status/1894057587441566081#m