Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Insert Pictures into Shapes in MS Word - Swahili
Karibu katika tutorial yetu ya Microsoft Word! Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kuingiza picha ndani ya shape ili kuboresha muonekano wa document zako. Hii ni mbinu bora ya kuwasilisha maelezo kwa njia ya kuvutia na ya kitaalamu.

Katika tutorial hii, utaweza kujifunza:
👉Hatua za kuingiza picha ndani ya shape katika MS Word.
👉Jinsi ya kubadilisha ukubwa na muonekano wa picha ndani ya shape.
👉Vidokezo vya kutumia mbinu hii katika doc
🆕 Logo mpya ya Grok AI ina muundo unaofanana na Black Hole, ikiwakilisha nguvu isiyo na kikomo ya akili bandia katika kuvuta, kuchakata, na kutoa maarifa kwa usahihi wa hali ya juu.
🆕 Mitsubishi imefanya mabadiliko katika gari zake za Outlander za mwaka huu 2025 na kuweka mabadiliko katika mwonekano na muundo wa model za Outlander.
Mitsubishi imeboresha mifumo ya Android Auto, Apple CarPlay, na viti vya mbele vyenye mfumo wa ubaridi.
Muonekano wa nje umeboreshwa kwa kuweka grille mpya, style mpya ya rims, na taa za nyuma. Ndani, kuna skrini kubwa ya inchi 12.3, sehemu ya kati imebadilishwa, na controls mpya
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
AI zinaweza kuzungumza pamoja na kuelewana vizuri kabisa. Imagine zinaweza ku-swicth mfumo wa mawasiliano na kuzungumza kwa codes https://twitter.com/ggerganov/status/1894057587441566081#m
😂 Nvidia ikiharibu tu, kampuni zote za stock zinafeli