Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿ†• Watumiaji wa Windows watalazimika kulipia app ya Notepad ili kupata features mpya

Kwa zaidi ya miaka 42, Notepad ni app ya bure ambayo imekuwa ikipatikana ndani ya mfumo wa kompyuta za Windows.

Soon itakuwa na huduma za kulipia kwa sababu ya AI na Microsoft 365