Teknolojia
135 subscribers
3.86K photos
5.07K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
πŸ†• Watumiaji wa Windows watalazimika kulipia app ya Notepad ili kupata features mpya

Kwa zaidi ya miaka 42, Notepad ni app ya bure ambayo imekuwa ikipatikana ndani ya mfumo wa kompyuta za Windows.

Soon itakuwa na huduma za kulipia kwa sababu ya AI na Microsoft 365