Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.6K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
4๏ธโƒฃ ๐—ฃ๐—ถ๐—ป ๐— ๐—ฒ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ด๐—ฒ๐˜€ - sasa hivi watumiaji wa Instagram wanaweza ku-pin messeji, picha, meme, au ujumbe wowote katika sehemu ya Chats. Sehemu hii inaweka urahisi wa kuona meseji na kuikumbuka kwa urahisi.
3๏ธโƒฃ ๐—ฆ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐—ฆ๐—ผ๐—ป๐—ด - Sasa hivi watumiaji wa Instagram wanaweza kutumiana nyimbo kupitia sehemu ya DM. Sehemu ya kutuma nyimbo imeongezwa katika sehemu ya Stickers. Watumiaji wanaweza kutafuta nyimbo zilizopo Instagram na kuzituma kwa marafiki na groups.
1๏ธโƒฃ ๐—ง๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—น๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป - Instagram imeweka mfumo wa kutafsiri meseji mbalimbali. Sehemu hii itakusaidia kuchat na watu mbalimbali ambao wanatumia lugha tofauti. Pia
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Nasa imesema viwango vya Hewa ya Oksijeni vimeshuka takribani miaka bilioni 1.08 kutokana na Joto kupanda na kuwa Kali Kila siku pamoja na kushuka kwa viwango vya CO2.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kuna utafiti umefanywa na chuo kikuu Cha Toho wakishirikiana na Wanasayansi toka Nasa wametabiri viwango vya Hewa ya oksijeni inayotumiwa na mwanadamu inashuka kwa kiwango kikubwa sana hivyo tunaelekea Mwisho wa Sayari ya Dunia kufikia Mwisho.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Utafiti huu unazidi kuweka mpango na changamoto ya watu kuweza kutafuta maisha na uhai kwenye Sayari zingine za mbali kwani Hewa ya oksijeni na Ozoni huenda visiwe viashiria vya kuaminika vya maisha Kila wakati.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Wamesema mimea yote inayotegemea Hewa ya oksijeni itapopotea ndani ya miaka 10,000 na maisha yanayotegemea Hewa ya Oksijeni yatafikia Mwisho na kuacha Sayari ya Dunia kutawaliwa na wadudu.
Fikiria designer wa zamani walikuwa wanatengeneza design kama hizi bila kutumia Adobe au apps za kisasa
Ukichunguza kwa umakini utagundua kuwa Official Wallpaper zote za iPhone 16 zinaendana na idadi ya lens za kamera.

Designer wa Apple ni noma!
๐Ÿšจ Usinunue 'External Disk' mtaani bila kuijaribu kwenye kompyuta na kuhakikisha inafanya kazi.

Wajanja ni wengi mjini!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ๐Ÿฅ€ ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

How to Auto-Generate Text in MS Word Using rand() - Swahili
Karibu katika tutorial yetu ya Microsoft Word! Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya ku-auto-generate text katika MS Word kwa kutumia function ya rand(). Hii ni njia bora ya kujaza document zako kwa maandiko ya random, ambayo inaweza kuwa msaada mkubwa wakati wa kubuni muonekano wa document au kufanya majaribio.

Katika tutorial hii, utaweza kujifunza:
๐Ÿ‘‰Hatua za kutumia rand() ili ku-auto-generate text katika MS Word.
๐Ÿ‘‰Jinsi ya kubad
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ๐Ÿฅ€ ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

How to Set Line and Paragraph Spacing in MS Word - Swahili
Karibu katika tutorial yetu ya Microsoft Word! Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kuweka line na paragraph spacing ili kuboresha muonekano wa hati zako. Hii ni mbinu muhimu ya kuimarisha usomaji na ufahamu wa maandiko yako.

Katika tutorial hii, utaweza kujifunza:
๐Ÿ‘‰Hatua za kuweka line spacing katika MS Word.
๐Ÿ‘‰Jinsi ya kubadilisha paragraph spacing kwa njia rahisi.
๐Ÿ‘‰Vidokezo vya kutumia spacing ili kuifanya hati yako iwe ya kuvutia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

How to Create Numbered Lists in MS Word (Swahili)
Karibu katika tutorial yetu ya Microsoft Word! Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kutengeneza list za nambari kwa urahisi. List hizi ni muhimu katika kuandaa ripoti, project, au hata kupanga mawazo yako katika hali nzuri.

Katika tutorial hii, utaweza kujifunza:
๐Ÿ‘‰Mchakato wa hatua kwa hatua wa kutengeneza list za nambari katika MS Word.
๐Ÿ‘‰Jinsi ya kubadilisha na kuimarisha muonekano wa list zako.
๐Ÿ‘‰Vidokezo vya kusimamia na kuhariri list zako
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

How to Write Curved Text in MS Word - Swahili
Karibu katika tutorial yetu ya Microsoft Word! Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kuandika maandiko ya curve ili kuboresha muonekano wa hati zako na kuwasilisha maelezo kwa njia ya kipekee. Hii ni mbinu nzuri ya kuongeza ubunifu kwenye hati zako.

Katika tutorial hii, utaweza kujifunza:
๐Ÿ‘‰Hatua za kuunda maandiko ya curve katika MS Word.
๐Ÿ‘‰Jinsi ya kubadilisha muonekano na mtindo wa maandiko yako.
๐Ÿ‘‰Vidokezo vya kutumia maandiko ya curve katika ha