Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mastering the -ls- Command in Linux | List, Sort & View Files Like a Pro!
In this tutorial, you'll learn how to effectively list and manage files in Linux using the ls command. Whether you're a beginner or an advanced user, these essential ls options will help you view, sort, and organize files like a pro.

🔥 What You’ll Learn:
Check your current directory using 👉pwd
List files and directories using 👉ls
View detailed file information with 👉ls -l
Show hidden files using 👉ls -a
Sort file
2️⃣ 𝗦𝗰𝗵𝗲𝗱𝘂𝗹𝗲 𝗠𝗲𝘀𝘀𝗮𝗴𝗲 - Sasa unaweza kuamua meseji ijitume yenyewe muda na tarehe ambayo unataka wewe.
🆕 Instagram imetambulisha rasmi mabadiliko mapya ambayo yameanza katika sehemu yake ya DM (Meseji)
5️⃣ 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗤𝗥 𝗖𝗼𝗱𝗲 - sasa unaweza kutengeneza na kuwatumia watu QR Code ya Group Chat za Instagram na mtu mwingine kujiunga kupitia QR Code kama ilivyokuwa imezoeleka katika QR Code za profiles.
4️⃣ 𝗣𝗶𝗻 𝗠𝗲𝘀𝘀𝗮𝗴𝗲𝘀 - sasa hivi watumiaji wa Instagram wanaweza ku-pin messeji, picha, meme, au ujumbe wowote katika sehemu ya Chats. Sehemu hii inaweka urahisi wa kuona meseji na kuikumbuka kwa urahisi.
3️⃣ 𝗦𝗵𝗮𝗿𝗲 𝗦𝗼𝗻𝗴 - Sasa hivi watumiaji wa Instagram wanaweza kutumiana nyimbo kupitia sehemu ya DM. Sehemu ya kutuma nyimbo imeongezwa katika sehemu ya Stickers. Watumiaji wanaweza kutafuta nyimbo zilizopo Instagram na kuzituma kwa marafiki na groups.
1️⃣ 𝗧𝗿𝗮𝗻𝘀𝗹𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻 - Instagram imeweka mfumo wa kutafsiri meseji mbalimbali. Sehemu hii itakusaidia kuchat na watu mbalimbali ambao wanatumia lugha tofauti. Pia
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Nasa imesema viwango vya Hewa ya Oksijeni vimeshuka takribani miaka bilioni 1.08 kutokana na Joto kupanda na kuwa Kali Kila siku pamoja na kushuka kwa viwango vya CO2.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Kuna utafiti umefanywa na chuo kikuu Cha Toho wakishirikiana na Wanasayansi toka Nasa wametabiri viwango vya Hewa ya oksijeni inayotumiwa na mwanadamu inashuka kwa kiwango kikubwa sana hivyo tunaelekea Mwisho wa Sayari ya Dunia kufikia Mwisho.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Utafiti huu unazidi kuweka mpango na changamoto ya watu kuweza kutafuta maisha na uhai kwenye Sayari zingine za mbali kwani Hewa ya oksijeni na Ozoni huenda visiwe viashiria vya kuaminika vya maisha Kila wakati.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Wamesema mimea yote inayotegemea Hewa ya oksijeni itapopotea ndani ya miaka 10,000 na maisha yanayotegemea Hewa ya Oksijeni yatafikia Mwisho na kuacha Sayari ya Dunia kutawaliwa na wadudu.
Fikiria designer wa zamani walikuwa wanatengeneza design kama hizi bila kutumia Adobe au apps za kisasa
Ukichunguza kwa umakini utagundua kuwa Official Wallpaper zote za iPhone 16 zinaendana na idadi ya lens za kamera.

Designer wa Apple ni noma!