Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
v inverter with 12v battery 100ah battery test with maximum continuous discharging current
24V/12v 2300W Inverter Test with 100A Max Continuous Discharge Current for Battery
In conclusion, the 2300W 24V Inverter with 100A Battery is capable of efficiently powering high-load devices, making it an excellent backup power solution for home or office use.
Thanks for watching the video and don't forget to subscribe to our channel for more helpful videos like this.
HOOLIKE 12.8V 100Ah Lithium Ir

Huawei iliweka mfumo wa Reverse Wireless charging mwaka 2018.
Leo hii tupo mwaka 2025 na bado Apple ipo katika harua za kufanya majaribio ya kuweka mfumo huu katika iPhone 17.
Android nyingi zilianza zamani! https://twitter.com/Captain2Phones/status/1052188790935048195#m

🆕 Apple imezindua iPhone 16e
Hii ni iPhone SE toleo jipya na Apple imeamua kubadili kabisa mwonekano wa iPhone SE na jina lake.
- Itakuwa na rangi nyeupe na nyeusi
- Chip mpya ya A18 ambayo inatumika kwenye iPhone 16
- Kamera moja ya 48MP
- Action Button
- Apple Intelligence

bongotech2⁵5🎮🛜
Kutana na mtanzania aliyeunda Teknolojia ya akili bandia inaitwa Nobe AI Yenye uwezo wa kufanya kazi mbalimbali na kukupa majibu ya maswali mengi utayomuuliza kama Mwanadamu.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
bongotech2⁵5🎮🎧🛜
Pia inawasaidia kwenye kusoma kubwa zaidi ni kumwambia Mtu asiyeona kuhusu hatari zilizopo mbele yake wakati anatembea.
Tembelea tovuti yao nobestudy.io usisahau kutu follow @Bongotech255

Mastering the -ls- Command in Linux | List, Sort & View Files Like a Pro!
In this tutorial, you'll learn how to effectively list and manage files in Linux using the ls command. Whether you're a beginner or an advanced user, these essential ls options will help you view, sort, and organize files like a pro.
🔥 What You’ll Learn:
✅ Check your current directory using 👉pwd
✅ List files and directories using 👉ls
✅ View detailed file information with 👉ls -l
✅ Show hidden files using 👉ls -a
✅ Sort file

1️⃣ 𝗧𝗿𝗮𝗻𝘀𝗹𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻 - Instagram imeweka mfumo wa kutafsiri meseji mbalimbali. Sehemu hii itakusaidia kuchat na watu mbalimbali ambao wanatumia lugha tofauti. Pia
〽︎ Teknolojia
bongotech2⁵5🎮🛜
Nasa imesema viwango vya Hewa ya Oksijeni vimeshuka takribani miaka bilioni 1.08 kutokana na Joto kupanda na kuwa Kali Kila siku pamoja na kushuka kwa viwango vya CO2.

Kuna utafiti umefanywa na chuo kikuu Cha Toho wakishirikiana na Wanasayansi toka Nasa wametabiri viwango vya Hewa ya oksijeni inayotumiwa na mwanadamu inashuka kwa kiwango kikubwa sana hivyo tunaelekea Mwisho wa Sayari ya Dunia kufikia Mwisho.

Utafiti huu unazidi kuweka mpango na changamoto ya watu kuweza kutafuta maisha na uhai kwenye Sayari zingine za mbali kwani Hewa ya oksijeni na Ozoni huenda visiwe viashiria vya kuaminika vya maisha Kila wakati.