Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ๐Ÿฅ€ ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

5 Ways To Improve Any Function in Python
Here are five ways you can improve any function in Python.

โ–ถ Become job-ready with Python:
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Ways To Improve Any Function in Python
Here are five ways you can improve any function in Python.

โ–ถ Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

โ–ถ Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels

00:00 Learning Python made simple
00:05 Intro
00:13 Getting started
01:19 Tip - Meaningful names
01:44 Tip - Typing
02:56 Tip - Documentation
04:49 Tip - Proper validation
06:38 Tip - Prioritise readability
08:30 Comparison
10:00 Conclusion
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Sasa wakazi wengi wa iringa kwenye Kijiji chao wanapata umeme kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaisha na biashara baada ya kawaga kuwatoa kwenye matumizi ya Mafuta na kuanzia kutumia nishati ya Umeme.
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kuna na mvumbuzi kutoka Tanzania anaitwa Gibson kawaga aliyebadili betri mbovu za laptop zilizotupwa kuwa nishati endelevu katika Kijiji kimoja kilichopo mkoa wa iringa Nchini Tanzania.
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Familia nyingi kwenye mkoa wa iringa bado zinategemea taa za mafuta ya taa pamoja koroboi ambazo hazifai na zinaharibu afya na mazingira.
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kutokana na changamoto hii Mtaalamu Gibson kawaga akaamua kutatua changamoto ya Kijiji chao kwa kuvumbua umeme ambao unatumia betri za laptop Zilizotupwa na kutoa mwanga pamoja na matumizi mengine nyumbani na maofisini nchini kote Tanzania.
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Historia ya Gibson kuwa mvumbuzi ilikua ya kushangaza sana ilianzia kwenye familia yake walikua na changamoto ya kukosa umeme kwa kuishi Kila siku bila umeme, ndiyo maisha halisi kwa zaidi ya nusu wakazi wa Kijiji chao.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ๐Ÿฅ€ ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Usisahau kutu follow kwa update mbalimbali za Teknolojia kwa lugha ya kiswahili @Bongotech255

Si unajua Teknolojia ni Yetu sote โœ…
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ๐Ÿฅ€ ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Usisahau kutu follow kwa update mbalimbali za Teknolojia kwa lugha ya kiswahili @Bongotech255

Si unajua Teknolojia ni Yetu sote โœ…
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ๐Ÿฅ€ ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

5 Ways To Improve Any Function in Python
Here are five ways you can improve any function in Python.

โ–ถ Become job-ready with Python:
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ๐Ÿฅ€ ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Usisahau kutu follow kwa update mbalimbali za Teknolojia kwa lugha ya kiswahili @Bongotech255

Si unajua Teknolojia ni Yetu sote โœ…
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ๐Ÿฅ€ ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

The Gorge Review
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ๐Ÿฅ€ ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

kuvuka bahari ya pasifiki, ukanda wa kusini mwa bara la Asia na Afrika upande wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara.

Nchini zenye hatari kubwa zaidi ya kupatwa na hii changamoto ni India, Bangladesh, Pakistani, Sudan, Nigeria, Venezuela, Colombia, Tanzania, Zimbabwe, Nigeria nk
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ๐Ÿฅ€ ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ท๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐˜๐—ฎ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฏ๐Ÿฎ

Aisee Kuna ripoti mpya imetoka kuhusu jiwe kubwa kushuka duniani ๐Ÿ˜ฒ

Repost
Like
Follow
@Bongotech255

Tujifunze sote โœ…
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ๐Ÿฅ€ ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Imelipa jina la ukanda wa hatari "risk corridor" litakaloweza kuathiri baadhi ya nchi kwa mawe hayo makubwa kushuka Kuanzia ukanda wa kaskazini Ya Amerika ya kusini....๐Ÿ‘‡