Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.6K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

What is Polymorphism in Python?
In today’s video we’re going to be learning about Polymorphism in Pythion. Note that polymorphism is not exclusive to Python, and that the concepts you will learn in this video practically apply to every programming language.

Learn about abstract methods: https://youtu.be/Qk8cmGvMAXU

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

falcon2 40w laserngraver and cutter , MACHINE TESTING, IS IT WORTH IT?
Creality falcon2 40w laserngraver and cutter
laser
product link: https://s.zbanx.com/r/aOeD3aNJu8hq
Code: FNPALL10
Creality Falcon Official Store https://eu.crealityfalcon.com/
YouTube: https://youtube.com/@FalconLaserOfficial
FB Group: https://www.facebook.com/groups/falconlaserengraver

****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here :【 https
🆕 Elon Musk ametangaza ofa ya kununua kitengo cha hisani cha OpenAI kwa Trilioni 252 (dola bilioni 97.4), akipinga mwelekeo wa kampuni hiyo kuwa ya kibiashara na kutafuta faida zaidi ya kunufaisha watumiaji
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

RT @MfalmewaX1: KILA MWANAUME LAZIMA AJUE HILI:

UZI 🧵

Kwanini wanaume wengine na Aura yenye nguvu na wengine uwepo wao ni dhaifu. Hili swali haliwezi kujibiwa na kila mtu.

Lakini kwa wafalme hili ni swali jepesi sana.

Shuka chini
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Jinsi ya Kutumia Report Wizard Katika Microsoft Access Kutengeneza Ripoti.
🎯 Jifunze jinsi ya kuunda ripoti ya usajili wa wanafunzi katika MS Access kwa urahisi!

Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza ripoti ya usajili wa wanafunzi (Student Enrollment Report) kwa kutumia Report Wizard katika Microsoft Access. Ripoti hii itakusaidia kuwasilisha data kwa njia iliyo rahisi kusoma na kuchapishwa kwa matumizi ya kitaalamu.

📌 Mambo utakayojifunza katika video hii:
J
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Airpods zimekua zikitengenezwa za miundo tofauti tofauti kwa ajili ya kusaidia unapoweka sikioni kuweza kusikiliza kitu na kushikika vizuri masikioni lakini njia hizo utumika kuumiza masikio yako.

Unajua kwanini 🤏
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

ukiwa unatembea njiani utaweza kukutana kati ya watu 10 watu 7 wamevaa Earpods masikioni wakisiliza nyimbo au kitu chengine chochote.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Mara nyingi Airpods zinamuathiri mtu kwa sababu tatu ambayo ni;

🗯how they're placed (jinsi unavyoweka masikioni)

🗯 how they fit (jinsi zinavyofaa)

🗯 how long you wearing (unavaa kwa muda gani )
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Hivyo kutumia Airpods || headphones kwa muda mrefu upelekea kuumiza masikio yako na kuyaua kabisa hivyo jihadhari kutumia Airpods muda mrefu.

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kujifunza zaidi 🗣
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗨𝗻𝗮𝗷𝘂𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝘂𝘀𝗶𝗽𝗲𝗻𝗱𝗲 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗔𝗶𝗿𝗽𝗼𝗱𝘀

Matumizi ya Airpods za wireless na Earphones || headphones za waya nchini Tanzania yamekua makubwa sana kwa watumiaji wengi.

Unajua ni hatari kwa afya yako kutumia Airpods ?? 🗣

Threads ni Yako
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

💭 Kosa kubwa kwanza watu wanafanya ni kuzitumbukiza kwa ndani zaidi Airpods ambazo kutokana na muundo wake inakupelekea kupelekea mitetemeko kwenye masikio usababisha kichwa kuuma, maumivu ya masikio na kuhalibu ngoma ya sikio lako.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

💭 Pili wengi tunatumia bila kujua kama inafaa kwenye sikio lako au lah wengi wanatumia Airpods sio size kwenye sikio lake na kukupelekea upate maumivu ya s wakati umeziweka sikioni kwako na kuzikandamiza kwa ndani kwa kuwa sio size yako kupelekea maumivu kwenye sikio.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

💭 Kutumia Airpods kwa muda mrefu pia ni hatari kwa afya yako unakuta mtu anatumia Airpods dakika zaidi ya 90 ziko masikioni kusababisha maumivu. Cartilage za masikio yetu hazijawekwa ili kushirikia kitu kwa muda mrefu sana hapana.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Unajua matumizi ya kutumia Airpods || headphones kuweka masikioni ni hatari sana kwa afya yako 😌?? Najua wengi hawajui hii leo nitakujuza kwa ufupi tu madhara ya Earpods kwenye masikio yako.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

EXTREMELY FAST SNOW REMOVAL TOOLS AND MACHINES
While it's almost spring in some regions, it's still snowy in some places. So, let's take a look at some helpful tools and technologies that can make things easier during the winter!

https://docs.google.com/document/d/1eb8CRnaNks6va7Nua4olI0z1YLwU7lILmoXmsnm0k5Y/edit?usp=sharing

00:23 - WP-6
00:53 - Makita SN400MP
01:12 - Beilhack
01:34 - IC Wedge Plow
02:02 - Virogun Robot
02:29 - Shovel Scraper
02:53 - Kärcher Ice Scraper EDI 4
03:13 - EcoLife S
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗣𝗿𝗼𝗱𝘂𝗰𝘁𝘀 𝗸𝗲𝘆𝘀 𝘇𝗮 𝗯𝘂𝗿𝗲 𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗪𝗶𝗻𝗱𝗼𝘄𝘀 𝟭𝟬 & 𝟭𝟭

Ulikua unasumbuka kutafuta products keys za bure kwenye windows yako

Usijali leo nakupa products keys za bure mwaka mzima siku 365 unatumia 👊
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Ikiwa unatumia windows 10 na windows 11 inakuletea ujumbe ya "Your windows is not Activated" usijali kabisa leo utaweza kuondoa changamoto hii kwenye kompyuta yako.

🗯Kila moja inafanya kazi kwenye kompyuta kazi kwako