Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Jinsi ya Kutengeneza Fomu ya Kuingiza Data | Data Entry Form Katika Microsoft Access
๐ŸŽฏ Jifunze jinsi ya kuunda Data Entry Form katika MS Access kwa urahisi!

Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza fomu ya kuingiza data (Data Entry Form) kwa kutumia Form Wizard katika Microsoft Access. Fomu hii itakusaidia kuingiza data kwenye table ya Students kwa haraka na kwa ufanisi bila kujaza moja kwa moja kwenye table.

๐Ÿ“Œ Mambo utakayojifunza katika video hii:
โœ… Jinsi ya kuf
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

INGENIOUS GADGETS YOU SHOULD SEE
Find out why you might want to remove social media from your smartphone, how you can control your computer using just your tongue, and how to deal with laundry in an innovative way. Our selection includes a variety of fascinating, practical, and sometimes fun gadgets!

1) MCON
https://clck.ru/3GHUBU
2) Fingerdama
https://clck.ru/3GHUs8
3) Ropet
https://clck.ru/3GHUsn
4) Pilet
https://clck.ru/3GHUvz
5) MUFEE
https://clck.ru/3GHUx2
6) DARWIN M2
https://clck.ru/3GHU
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

What is Polymorphism in Python?
In todayโ€™s video weโ€™re going to be learning about Polymorphism in Pythion. Note that polymorphism is not exclusive to Python, and that the concepts you will learn in this video practically apply to every programming language.

Learn about abstract methods: https://youtu.be/Qk8cmGvMAXU

โ–ถ Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

โ–ถ Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

falcon2 40w laserngraver and cutter , MACHINE TESTING, IS IT WORTH IT?
Creality falcon2 40w laserngraver and cutter
laser
product link: https://s.zbanx.com/r/aOeD3aNJu8hq
Code: FNPALL10
Creality Falcon Official Store https://eu.crealityfalcon.com/
YouTube: https://youtube.com/@FalconLaserOfficial
FB Group: https://www.facebook.com/groups/falconlaserengraver

****************************
You can buy me coffee here :ใ€ https://ko-fi.com/inventorkr ใ€‘
Circuits diagrams and code here :ใ€ https
๐Ÿ†• Elon Musk ametangaza ofa ya kununua kitengo cha hisani cha OpenAI kwa Trilioni 252 (dola bilioni 97.4), akipinga mwelekeo wa kampuni hiyo kuwa ya kibiashara na kutafuta faida zaidi ya kunufaisha watumiaji
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

RT @MfalmewaX1: KILA MWANAUME LAZIMA AJUE HILI:

UZI ๐Ÿงต

Kwanini wanaume wengine na Aura yenye nguvu na wengine uwepo wao ni dhaifu. Hili swali haliwezi kujibiwa na kila mtu.

Lakini kwa wafalme hili ni swali jepesi sana.

Shuka chini
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Jinsi ya Kutumia Report Wizard Katika Microsoft Access Kutengeneza Ripoti.
๐ŸŽฏ Jifunze jinsi ya kuunda ripoti ya usajili wa wanafunzi katika MS Access kwa urahisi!

Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza ripoti ya usajili wa wanafunzi (Student Enrollment Report) kwa kutumia Report Wizard katika Microsoft Access. Ripoti hii itakusaidia kuwasilisha data kwa njia iliyo rahisi kusoma na kuchapishwa kwa matumizi ya kitaalamu.

๐Ÿ“Œ Mambo utakayojifunza katika video hii:
โœ… J
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Airpods zimekua zikitengenezwa za miundo tofauti tofauti kwa ajili ya kusaidia unapoweka sikioni kuweza kusikiliza kitu na kushikika vizuri masikioni lakini njia hizo utumika kuumiza masikio yako.

Unajua kwanini ๐Ÿค
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

ukiwa unatembea njiani utaweza kukutana kati ya watu 10 watu 7 wamevaa Earpods masikioni wakisiliza nyimbo au kitu chengine chochote.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Mara nyingi Airpods zinamuathiri mtu kwa sababu tatu ambayo ni;

๐Ÿ—ฏhow they're placed (jinsi unavyoweka masikioni)

๐Ÿ—ฏ how they fit (jinsi zinavyofaa)

๐Ÿ—ฏ how long you wearing (unavaa kwa muda gani )
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Hivyo kutumia Airpods || headphones kwa muda mrefu upelekea kuumiza masikio yako na kuyaua kabisa hivyo jihadhari kutumia Airpods muda mrefu.

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kujifunza zaidi ๐Ÿ—ฃ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—”๐—ถ๐—ฟ๐—ฝ๐—ผ๐—ฑ๐˜€

Matumizi ya Airpods za wireless na Earphones || headphones za waya nchini Tanzania yamekua makubwa sana kwa watumiaji wengi.

Unajua ni hatari kwa afya yako kutumia Airpods ?? ๐Ÿ—ฃ

Threads ni Yako
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’ญ Kosa kubwa kwanza watu wanafanya ni kuzitumbukiza kwa ndani zaidi Airpods ambazo kutokana na muundo wake inakupelekea kupelekea mitetemeko kwenye masikio usababisha kichwa kuuma, maumivu ya masikio na kuhalibu ngoma ya sikio lako.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’ญ Pili wengi tunatumia bila kujua kama inafaa kwenye sikio lako au lah wengi wanatumia Airpods sio size kwenye sikio lake na kukupelekea upate maumivu ya s wakati umeziweka sikioni kwako na kuzikandamiza kwa ndani kwa kuwa sio size yako kupelekea maumivu kwenye sikio.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’ญ Kutumia Airpods kwa muda mrefu pia ni hatari kwa afya yako unakuta mtu anatumia Airpods dakika zaidi ya 90 ziko masikioni kusababisha maumivu. Cartilage za masikio yetu hazijawekwa ili kushirikia kitu kwa muda mrefu sana hapana.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Unajua matumizi ya kutumia Airpods || headphones kuweka masikioni ni hatari sana kwa afya yako ๐Ÿ˜Œ?? Najua wengi hawajui hii leo nitakujuza kwa ufupi tu madhara ya Earpods kwenye masikio yako.