Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.6K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Ina free VPN, Akili Bandia, beats za kuongeza focus, na mwonekano wa kisasa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Opera imezindua browser mpya ya Opera Air

Ni browser mpya ambayo ina vipengele vya kutunza afya ya akili.

Kuna “Take a Break” kwa mazoezi ya mwongozo na “Boosts” inayotumia teknolojia ya binaural beats kuboresha umakini.

Unaweza kuipata kupitia tovuti ya Opera.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Yote ni maswali ambayo watu wengi wanajiuliza kuna ulazima gani wa kuweka Airplane mode kwenye simu zetu ? Simu tunajua ni moja wapo ya kifaa cha mawasiliano ambapo watu tunatumia kuw asiliana na kufanya mambo mengine.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

💭 Unapoweka Airplane mode On unakua unazima mifumo mizima yote ya kutoa taarifa za simu yako.

💭 Pindi simu inapokuwa kwenye Airplane mode baadhi ya mawasiliano unakatisha ila unakua na uwezo wa kutumia bluetooth, wifi, kuangalia video na kusikiliza Audio.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗞𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝘁𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗔𝗶𝗿𝗽𝗹𝗮𝗻𝗲 𝗺𝗼𝗱𝗲 𝘁𝘂𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗻𝗱𝗲𝗴𝗲 ??

Umeshawahi kujiuliza kwanini watu wanaweka Airplane mode wakiwa safarini kwenye ndege ? Je kuna ulazima wa kuweka ? Vipi ikitokea ujaweka Airplane mode ?

Threads ni Yako 👊
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Unapoweka off Airplane utasababisha mawasiliano kuingiliana ya mifumo ya Rubani na wanaongoza ndege pamoja na mifumo mingine na kupelekea ndege kupoteza muelekeo na ajali kutokea.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

🗣inasema FCC na FFA zinapiga marufuku matumizi ya simu kwenye ndege kwa sababu mawimbi yanayotoka kwenye simu yanaweza kuingiliana na mawasiliano ya ndege.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

🗣 Kwanini Abiria waliopo kwenye ndege wanashauriwa kuweka On Airplane mode, kulingana na ripoti toka kurasa ya FFA ya masuala ya usalama wa ndege.....
Kazi yake kubwa ni kupanga matukio kama mikutano, party, mikutano, sherehe za kuzaliwa na mahafali.
Apple imeanzisha app mpya ya "Invites"

Tayari imeanza kupatikana kwenye App Store
App hii ina sehemu ya kufungua Event, kuweka picha, jina la event, location, picha za tamasha au mikutano, na kutengeneza link ya kuiweka mtandaoni.
Unaweza kuamua kila mtu ambaye ataipata link akubali kushiriki na kuona orodha ya watu ambao wamekubali kushiriki na kufahamu wanashiriki watu wangapi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Jifunze Microsoft Access | Fungua na Tengeneza Database Yako ya Kwanza
🎯 Karibu kwenye video hii ya utangulizi wa Microsoft Access!

Katika video hii, nitakufundisha MS Access ni nini na jinsi ya kuitumia kwa mara ya kwanza. Tutaangazia hatua kwa hatua jinsi ya kuunda database mpya kwa urahisi, hata kama wewe ni mgeni kabisa kwenye programu hii.

📌 Mambo utakayojifunza:
1️⃣ Kuanza na kufungua Microsoft Access.
2️⃣ Jinsi ya kuunda database mpya (StudentManagement.accdb).
3️⃣ Ufafanuzi wa vipeng
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

SMART SECRET STORAGES AND SPACE SAVING FURNITURE INNOVATIONS
Today's selection contains the most interesting and most necessary purchases from Amazon. Perhaps something from this selection will be useful to you. Grab a cart - and let's go shopping!

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting video and would like to see it on our channel, please write to us at content.manager@techzonelab.info
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Power Factor Explained – Why they issue penalty charges (Reactive Power)
What is Power Factor? Get a 30 day free trial and 20% off an annual subscription.🎁 Click here: https://brilliant.org/TheEngineeringMindset

What is Power Factor, Reactive Power, Real Power, True Power, and why do power companies issue reactive power penalty charges. How do you correct bad power factor. What causes bad power factor. How do you calculate power factor, real power, apparent power and reactive power.

Get your
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Jinsi ya Kutengeneza Table ya Students, Courses, na Enrollments | Jifunze Microsoft Access
🎯 Karibu kwenye sehemu ya pili ya mafunzo ya Microsoft Access!

Katika video hii, nitakuongoza hatua kwa hatua jinsi ya kuunda tables tatu muhimu kwenye database ya Student Management tuliokwisha itengeneza katika Videoyopita. Hizi table zitakusaidia kupanga na kudhibiti taarifa kwa ufanisi zaidi.

📌 Table utakazojifunza kuunda:
1️⃣ Students – Kuhifadhi taarifa za wanafunzi kama vile majina, tarehe ya ku