This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
THIS Python Feature Is Actually Quite Cool
This Python feature is actually quite cool.

bongotech2โต5๐ฎ๐
Ilikua mwaka 2023 Jamaa mmoja anaitwa Wycliffe Moenga akiwa na umri wa miaka 30 aliweza kudukua mifumo ya Serikali ya kenya kwa kufanikiwa kuongeza jimbo moja jingine kwenye mfumo wa Serikali.

Aliweza kuongeza jimbo ilo la Ombogo kusini mwa Nyamira na kufanikiwa kujiajiri kama Mbunge wa Eneo hilo.
Jamaa huyo kutoka Narok alifanikiwa kupokea Malipo ya Mwezi mmoja na marupurupu yote ya allowance akiwa mbunge.
Alikamatwa na kushtakiwa ๐.

๐ ๐๐๐๐๐ ๐จ ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ฌ๐๐๐จ๐๐จ๐ ๐ ๐๐จ๐ ๐ข ๐ช๐ ๐ฆ๐๐ฅ๐๐๐๐๐ ๐ก๐ ๐๐จ๐๐๐ฃ๐ช๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ ๐ฌ๐ ๐จ๐๐จ๐ก๐๐
Wanasema mdukuzi ukimpa tu script movie kamili anakuletea mwenyewe!!! Kutana na jamaa mmoja toka kenya aliyedukua Mifumo ya Serikali
Sio mchezo ๐

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
INGENIOUS TOOLS YOU'LL WANT TO SEE
In today's video you'll find everything you need to work comfortably. From wrenches to exoskeletons, from sledgehammers to laser rulers...These pros will have you mesmerized as they show off their tools. By the end of the video, you might even want to buy something from this compilation!
For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting video and would like to see it on our channel, please write to us at conte

make a simple AM radio , receives all international radio stations , jlcpcb
JLCPCB PCB Fab & Assembly from $2! Register to get $60 Coupons: ใ https://jlcpcb.com/?from=inventorKR ใ
I will teach you step by step how to make a radio to receive world radio stations, with simple electronic components, it can be an electronic project or a university graduation project, this radio does not need much power as it works on a 3 volt battery only. In the video, I will provide you with the circuit diag

๐ Windows 11 imeboresha matumizi kwa watumiaji wa iPhone! Sasa unaweza kufikia simu yako moja kwa moja katika Start menu
Utaweza kuangalia message, kupiga simu, na kutuma faili, kama watumiaji wa Android.
Utaweza kuangalia message, kupiga simu, na kutuma faili, kama watumiaji wa Android.
ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐
๐๐จ๐ง๐๐ก๐ ๐ฃ๐๐๐ ๐ ๐ช๐๐ก๐ฌ๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐ฅ๐๐ ๐ ๐๐จ๐ก๐๐๐ก๐
Ule usemi wa bora kuzaliwa mbwa ulaya ๐ nimeanza kuelewa sasa Aiseeh Dunia simama tushuke njiani โ๏ธ
Umeshawahi kumuona paka mwenye maisha mazuri kwenye hii Dunia ๐
Thread ni yako

Anatabasamu la kipekee ๐mpaka mapaka dume wanaangaika kumpata lakini wapi ?
Media: Rexiecat

Rexie ni paka mlemavu ambaye anafugwa lakini anaishi maisha ya kipekee sana na kuvutia watu kwenye mitandao ya kijamii akiwa na followers wengi zaidi ya laki moja.

Rexie ni paka anayejulikana sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na uso wake wa kuvutia na mwenye kutoa ishara za kustaajabisha. Alizaliwa mwaka 2014.

Dunia na maajabu yake kutana na paka ambaye ni maarufu Duniani anajulikana sana kwenye mitandao yw kijamii, paka huyu anaitwa Rexie ndo paka mwenye maisha ya Gharama na anaishi maisha mazuri kuliko mnyama yoyote wa kufugwa.