Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Hisa za Nvidia zimeshuka, lakini Nvidia imeikumbusha DeepSeek kuwa bado mafanikio yake yanategemea GPU za Nvidia.

Nvidia imesema mapinduzi ya AI hayaendeshwi na ndoto tu.

DeepSeek tayari inapata changamoto za watumiaji wengi lakini inajitahidi kupambana na fitna zilizopo
Nvidia imeweka kozi zote bure leo! ๐Ÿš€
Adobe itaongeza gharama zake, kuanzia mwezi ujao
๐Ÿ†• Nothing Phone (3a) - tetesi zinaonyesha itakuwa na kioo kikubwa cha 6.8 na 50MP katika lens yake ya Telephoto.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

#NK| Huyu ndo mfalme wa AI ChatGPT wakasome!!
7+ Years of Experience.
Kujiunga na masomo ya kulipia : https://forms.gle/pLEBEPuZgsoPLew7A
===

Hapa ni ulimwengu wa Teknohama (IT (Information Technology)) karibu ujifunze nasi Computer kutokea zeero mpaka kuwa More Than Professional.
-----------

#NK| Huyu ndo mfalme wa AI ChatGPT wakasome!!

-----
- Channel yetu mpya ya Shorts: https://www.youtube.com/channel/UCifYOx_oQuq9__OnyUE4K9A
- NK on TIKTOK : https://www.tiktok.com/@nk_tok1?lang=en

----
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

INSANE ARMORED VEHICLES FROM AROUND THE WORLD
Armor and wheels! Sounds like the title of an action movie, doesn't it? But it's actually the topic of today's video. These beasts can withstand everything, from gunfire to tornadoes! If you've got any doubts, the creators of these armored vehicles will put them to rest by testing them right in front of your eyes. Get ready for an incredible ride!

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting vi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

THIS Python Feature Is Actually Quite Cool
This Python feature is actually quite cool.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Ilikua mwaka 2023 Jamaa mmoja anaitwa Wycliffe Moenga akiwa na umri wa miaka 30 aliweza kudukua mifumo ya Serikali ya kenya kwa kufanikiwa kuongeza jimbo moja jingine kwenye mfumo wa Serikali.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Aliweza kuongeza jimbo ilo la Ombogo kusini mwa Nyamira na kufanikiwa kujiajiri kama Mbunge wa Eneo hilo.

Jamaa huyo kutoka Narok alifanikiwa kupokea Malipo ya Mwezi mmoja na marupurupu yote ya allowance akiwa mbunge.

Alikamatwa na kushtakiwa ๐Ÿ‘‹.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐— ๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐—๐—”๐— ๐—”๐—” ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฌ๐—˜๐——๐—จ๐—ž๐—จ๐—” ๐— ๐—™๐—จ๐— ๐—ข ๐—ช๐—” ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—ช๐—” ๐—ฃ๐—˜๐—ฆ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—•๐—จ๐—ก๐—š๐—˜

Wanasema mdukuzi ukimpa tu script movie kamili anakuletea mwenyewe!!! Kutana na jamaa mmoja toka kenya aliyedukua Mifumo ya Serikali

Sio mchezo ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ OnePlus
3๏ธโƒฃ Imeweka tips zinazoendana na akaunti, contents na mazoea yako

Instagram imeweka mfumo mpya wa kukupatia taarifa zinazoendana na akaunti yako ili kukupatia insights za ziada ambazo zitakusaidia kufahamu content zako zinavyopokelewa.
2๏ธโƒฃ Mitazamo kwa Muda (Views Over Time):

Inaonyesha idadi ya mitazamo ambayo Reels zako zimepokea hadi sasa ikilinganishwa na wastani wa mitazamo ambayo Reels zako zinapata
๐Ÿ†•๐Ÿงต Instagram imeongeza vipimo vipya 2 kwa Reels:

1๏ธโƒฃ Kiwango cha Kutazamwa (View Rate):

Hukusaidia kuelewa asilimia ya wafuasi wako na wasio wafuasi wanaoendelea kutazama baada ya sekunde tatu za kwanza.
๐Ÿ†• Apple Map tayari imebadili jina la Gulf of Mexico kuwa Gulf of America
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

INGENIOUS TOOLS YOU'LL WANT TO SEE
In today's video you'll find everything you need to work comfortably. From wrenches to exoskeletons, from sledgehammers to laser rulers...These pros will have you mesmerized as they show off their tools. By the end of the video, you might even want to buy something from this compilation!

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting video and would like to see it on our channel, please write to us at conte