Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.6K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

China inajiandaa na mbio za marathon za Dunia za kwanza zitakazoshirikisha binadamu na Maroboti ambayo yatafanyika mwaka huu mwezi April katika wilaya Ya Daxing mjing Beijing.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗠𝗔𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗢𝗕𝗢𝗧𝗜 𝗡𝗔 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗗𝗔𝗠𝗨 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗜𝗞𝗔 𝗕𝗘𝗜𝗝𝗜𝗡𝗚

Hakika dunia inakwenda kasi sana Wachina wako seriously na Maroboti 😀 kabisa
Wameandaa shindano kali kati ya Binadamu na Maroboti.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Mbio izi za Marathoni nchi ya China inaangizia jinsi dunia inahitaji kubadilika ni wakati wa kutumia Roboti kushirikiana na binadamu huku nchi hiyo ikikabiliwa na idadi kubwa ya watu wengi.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Tukio litaweza kujumuhisha wanariadha 12,000 ambao ni binadamu na makumi ya maroboti yenye muundo wa humanoid zitakazo shindana kwenye mbio za maili 13.

Roboti zitakazo shiriki kwenye hizo mbio lazima zionekane kama binadamu zitatumia miguu miwili kukimbia.
Muda ni mchache, mambo ni mengi
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗞𝗮𝗺𝗮 𝘄𝗲𝘄𝗲 𝗻𝗶 𝗣𝗵𝗼𝘁𝗼𝗴𝗿𝗮𝗽𝗵𝗲𝗿 𝗯𝗮𝘀𝗶 𝗵𝗶𝗶 𝗶𝗱𝗲𝗮𝘀 𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗳𝗮𝗮 𝗮𝘂 𝘂𝗻𝗮𝘀𝗲𝗺𝗮𝗷𝗲!!!

Hii idea unaweza tumia kuonyesha usanii wako na kujingizia pesa ikiwa wewe ni Mwana sanaa...👋
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

5/9
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

8/9
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

7/9
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Anaitwa lito ni msanii wa kijapani aliyejifundisha mwenyewe kuunda sanaa za kipekee kupitia mfumo wa kuchonga vitu kwa mkono kupitia majani na kuyatengenezea stori kwa kuzipiga picha toka mwaka 2020.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Anasema huchuna majani kwa uwangalifu mkubwa na kuunda tafsiri za picha kwa namna za kipekee kuanzia picha wanyama, watu, vitu na mandhari.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Utaratibu huo alianzia mwaka 2020 kwa kuchukua majani ya miti yaliyoanguka kisha utengeneza vitu kwa kuwapa mashabiki zake hisia fulani labda kutafakari juu ya picha iliyopigwa kupitia matukio tofauti tofauti.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

6/9
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Licha ya kutumia majani lakini anaonyesha Dunia jinsi gani unaweza tumia Majani kuonyesha Sanaa mbalimbali kwa watu na kuziuza vizuri tu💰.

Credit to @lito_leafart

Angalia picha zingine 👇
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Array Katika C++: Kwanini Tuitumie, Declare na Initialize Array | Jifunze Programming
Katika video hii, utajifunza kuhusu array katika C++. Tutaeleza kwa nini array ni muhimu, jinsi ya kuitengeza (declare), na kuiwekea values (initialize). Mifano rahisi itakusaidia kuelewa matumizi ya array kwa ajili ya kuhifadhi na kushughulikia data nyingi kwa ufanisi zaidi.



🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu:
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

SPACE-SAVING AMAZON GADGETS FOR TINY APARTMENTS
1 Pipishell https://tinyurl.com/8pp3uak3
2 Drying Rack https://tinyurl.com/2dhp9fn7
3 Sink Caddy https://tinyurl.com/37e2raf2
4 Spice Rackhttps://tinyurl.com/48uh4nyr
5 IIIOIIIA https://tinyurl.com/vpbrr24y
6 Storage Cart https://tinyurl.com/4ak34zks
7 Water Filter https://tinyurl.com/mw5andp5
8 Osmosis https://tinyurl.com/nvtwjdx4
9 Folding Desk https://tinyurl.com/knnjs4d5
10 Storage Bin https://tinyurl.com/msjfsvsf
11 Lamp https://tinyur
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Channel Updates + Free Python Course Giveaway
Become a channel member today: https://www.youtube.com/channel/UCuudpdbKmQWq2PPzYgVCWlA/join
Free course application: https://forms.gle/92hr7z9t2UpttKY98

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

kufanya hivyo unaweza au ukawa unahatarisha maisha yako au unazidi kuhatarisha maisha ya majeruhi. Unaweza kumvuta mguu au kichwa ukijua unamsaidia kumbe umeshaharibu mishipa ya fahamu