This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
Programu ya C++: Mfano wa Program ya Kuendelea Kupokea Namba Hadi Unapoingiza namba Hasi
Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kuandika programu kwa kutumia while loop katika C++ ambayo inaruhusu mtumiaji kuingiza namba mara kwa mara hadi aweke namba hasi. Video hii ni muhimu kwa wanafunzi wa programming wanaotaka kuelewa jinsi ya kushughulikia ingizo la mtumiaji na kuacha loop kwa kigezo maalum.
Utaelewa:
๐ขJinsi ya kutumia while loop kwa hali ya kuendelea kupokea data.
๐ขJinsi ya kuchunguza in

bongotech2โต5๐ฎ๐
๐จ๐ป๐ฎ๐ท๐๐ฎ ๐ป๐ถ๐ป๐ถ ๐ธ๐ถ๐๐ฎ๐๐ผ๐ธ๐ฒ๐ฎ ๐ถ๐ธ๐ถ๐๐ฎ ๐ก๐๐ผ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ป๐ฒ๐๐๐ฟ๐ผ๐ป ๐ธ๐ถ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฒ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ธ๐ฒ ๐ธ๐ถ๐๐ฎ๐ธ๐๐ท๐ฎ ๐๐๐ป๐ถ๐ฎ๐ป๐ถ
Umeshawahi kujiuliza nini kitatokea ikiwa Nyota aina ya Nyutroni kipande chake kikawekwa kwenye ardhi ya Dunia ๐ณ
Sio poa ๐โ๏ธ

๐จ Kijiko tu cha nyota ya nyutroni kinaweza kugawanyika kuwa protoni na neutroni na kutoa nishati nyingi kama vile Jua hutoa kwa sekunde chache.

Ikitokea kipande cha nyota ya neutron kingetokea Duniani, basi ingesababisha mlipuko mkubwa ambao ungeifanya sehemu kubwa ya sayari (Dunia) kuwa mvuke.
Unajua kwanini Ikitokea nyota ya Neutron ikija duniani basi sehemu kubwa ingekua Mvuke;

๐จ Nyota hizo zina nguvu ya Sumaku zenye nguvu sana.
๐จ Ile Nguvu ya mvutano ya nyota ya nyutroni inaweza kusababisha maafa ya mawimbi ambayo yangeharibu Dunia sehemu kubwa.

Nyota ya Neutron ni nyota nene sana yani kile kijiko cha chai cha kipande cha nyota hiyo kina uzito zaidi ya Tani milioni 10.
๐จ Nyota ya nyutroni zina mvuto mkali, uzito wa nyota ya nyutroni ina nguvu sana kiasi kwamba mwanga wake unaweza kuzunguka pande zote za dunia.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
JAW-DROPPING DANGEROUS OVERSIZE CARGO TRANSPORTATION OPERATIONS
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
JAW-DROPPING DANGEROUS OVERSIZE CARGO TRANSPORTATION OPERATIONS
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
.1 Virusi vya Kompyuta: Virus ni nini, Madhara Yake, na Jinsi ya Kujikinga!(Malicious Software)
Virusi vya Kompyuta: Jifunze Kuhusu Aina Hii ya Malware na Jinsi ya Kujikinga!
Je, unajua virusi vya kompyuta ni nini na jinsi vinavyoathiri vifaa vyetu? Katika video hii, nimekufundisha kila kitu unachohitaji kujuau virusi vya kompyuta, jinsi vinavyoenea, madhara yake, na hatua unazoweza kuchukua ili kujilinda.
Nitakueleza kwa lugha nyepesi na mifano halisi kama:
๐ขVirusi maarufu kama ILOVEYOU na ma

๐ Tetesi zinaonyesha mpya wa iOS 19 mwaka huu katika iPhone, utakuwa na mwonekano mpya katika app ya Camera.
Tetesi zinaonyesha itakuwa na mwonekano kama wa visionOS ambayo inatumika katika Vision Pro.
Tetesi zinaonyesha itakuwa na mwonekano kama wa visionOS ambayo inatumika katika Vision Pro.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
How to Insert and Position a Picture in Microsoft Word โ Easy Step-by-Step Guide!
In this tutorial, weโll walk you through the simple and effective steps to insert a picture into your Microsoft Word document and position it exactly the way you want. Whether you're creating a report, essay, or just adding some flair to your document, this video covers everything you need to know!
๐น What Youโll Learn:
๐ขHow to easily insert pictures into your Word document.
๐ขStep-by-step instructions for resizing

๐ WhatsApp itaanza kuruhusu kuchapisha Status zako moja kwa moja kwenye Stories za Facebook au Instagram.
Trump: Marekani Kuwekeza Dola Bilioni 500 Katika AI Ili Kujihakikishia Utawala wa Sekta Hiyo.
๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph
Trump: Marekani Kuwekeza Dola Bilioni 500 Katika AI Ili Kujihakikishia Utawala wa Sekta Hiyo.
Katika harakati za kuhakikisha Marekani inaongoza sekta ya akili mnemba (AI), Rais wa zamani Donald Trump ametangaza mpango kabambe wa uwekezaji wa dola bilioni 500. Mradi huu, unaojulikana kama โThe Stargate Project,โ unalenga kujenga miundombinu ya kisasaโฆ
ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐
lengo lao kubwa ni kuongeza maisha ya mwanadamu kwa muongo mmoja kutokana na kuwawekea seli aina ya sterm seli.
Muundo huu ufanya kazi ya kuondoa seli za zamani za mwili wako zilizokosa protini ambapo upokea seli mpya aina ya sterm zinazoweza kubadilika.

Kampuni ya OpenAi imezindua muundo wake wa kwanza wa AI iliyoundwa kutokana data za kibaiologia haswa kwa kukuongezea protini mwilini.