Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.6K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Wiki kadhaa iliyopita mama mmoja aliweza kuisifu chati boti ya Elon musk, kwa kuweza kutambua kuvunjika mkono binti yake baada ya wataalam bingwa wa Matibabu kushindwa kujua.
๐Ÿ‘1
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

BAADA YA MADAKTARI KUSHINDWA KUJUA AMEVUNJIKA MAENEO GANI AKILI BANDIA YA GROK IMEWASAIDIA KUJUA MFUPA ULIOVUNJIKA๐Ÿ˜ณ

Tunakoelekea kuna hatari ya Teknolojia ya AI kuweza kuchukua nafasi kwenye kazi mbalimbali

Thread ni yako ๐Ÿ‘‹
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Lakini Mama huyo aliamua kutumia akili bandia ya chati boti ya Grok ndipo ilipomuonyesha mvunjiko kwenye mkono wa mbali. Baadae wataalamu wakapima Tena kwenye X ray ndipo walipofanikiwa kuona mvunjiko huo na kuweza kumfanyia upasuaji.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu nafasi ya AI inavyoongezeka katika uchunguzi wa kimatibabu.

Ebu tuambie umeshawahi kutumia Chati boti ya Grok ๐Ÿ˜Ž
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ 2025 โ˜„๏ธsolar storm
Hiki ni dhoruba la jua ambalo litaweza kuikumbuka dunia watu wataweza kuona dunia itakumbwa na dhoruba ya jua kuwa kali mara kumi yake.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ 2027 kupatwa kwa jua kurefu zaidi
Hii tunaita LONGEST SOLAR ECLIPSE ambapo jua litapatwa itachukua muda mrefu zaidi itachukua dakika 6 na sekunde 33 itakua Agosti ambapo mara ya mwisho kutokea kupatwa kwa jua ilikaa muda mrefu ni mwaka 2009 na nyingine itatokea mwaka 2114.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ Safari ya Mercury kwenye Jua
Novemba 7 2039 kutakua sayari ya Mercury itaweza kusafiri kwenye uso wa jua, usafiri huo utaweza kuonekana kwenye sehemu fulani ya dunia ambapo baadhi ya nchi wataweza kuona safari hiyo ya Mercury.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Haya ni matukio adimu sana yatatokea kuhusu sayari na Anga kwa ujumla ambayo yatajitokeza dunia kwa miaka 15 mpaka miaka 100 ijayo watu wengi mtashangaa Maajabu ya Sayari zilizoumbwa na Mwenyezi Munguโœ๏ธ.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ 2029 Apophis Asteroid
Hili ni jiwe kubwa jeusi litaweza kujitokeza kwenye Dunia na kuweza kuonekana ambayo huzunguka Jua na kuja karibu Dunia iligundulika mwaka 2004 inajulikana kama 99942 Apophis.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Usisahau kutu follow kujifunza mengi kuhusu Teknolojia, Ai na habari za Dunia kwa ufupi kila siku

@Bongotech255
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ 2034 Mvua ya kimondo
Tunaita leonid Meteor shower ambapo itakua mlipuko mkubwa wa mvua wa vimondo mkali mwaka 2034 ikiwa na dhoruba ya nyota zaidi 100,000 zitakazo sambaa angani na kupasuka pasuka kwa kishindo.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ Septemba 8 2040
Utaweza kuona kupitia macho yako sayari zikijipanga kwenye Uso wa dunia kuanzia Mercury, Venus, Mars, Jupiter na Saturn ๐Ÿช ambapo mwezi utawekwa kati kati ya sayari ya Venus na Saturn.
X/Twitter itaweka sehemu mpya maalum ya videos.

Sehemu hii itachukua nafasi ya tab ya Communities, na tab hiyo itaondoka na itakuwa tab ya videos ambayo ina icon ya Play.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Programu ya C++: Mfano wa Program ya Kuendelea Kupokea Namba Hadi Unapoingiza namba Hasi
Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kuandika programu kwa kutumia while loop katika C++ ambayo inaruhusu mtumiaji kuingiza namba mara kwa mara hadi aweke namba hasi. Video hii ni muhimu kwa wanafunzi wa programming wanaotaka kuelewa jinsi ya kushughulikia ingizo la mtumiaji na kuacha loop kwa kigezo maalum.

Utaelewa:
๐ŸŸขJinsi ya kutumia while loop kwa hali ya kuendelea kupokea data.
๐ŸŸขJinsi ya kuchunguza in
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐˜†๐—ผ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฒ๐˜‚๐˜๐—ฟ๐—ผ๐—ป ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ธ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ

Umeshawahi kujiuliza nini kitatokea ikiwa Nyota aina ya Nyutroni kipande chake kikawekwa kwenye ardhi ya Dunia ๐Ÿ˜ณ

Sio poa ๐Ÿ‘‡โ˜„๏ธ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ Kijiko tu cha nyota ya nyutroni kinaweza kugawanyika kuwa protoni na neutroni na kutoa nishati nyingi kama vile Jua hutoa kwa sekunde chache.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Ikitokea kipande cha nyota ya neutron kingetokea Duniani, basi ingesababisha mlipuko mkubwa ambao ungeifanya sehemu kubwa ya sayari (Dunia) kuwa mvuke.

Unajua kwanini Ikitokea nyota ya Neutron ikija duniani basi sehemu kubwa ingekua Mvuke;
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ Nyota hizo zina nguvu ya Sumaku zenye nguvu sana.

๐Ÿ’จ Ile Nguvu ya mvutano ya nyota ya nyutroni inaweza kusababisha maafa ya mawimbi ambayo yangeharibu Dunia sehemu kubwa.