๐ TikTok imerejea na kurudisha huduma zake nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu app hiyo kuendelea kufanya kazi Marekani. https://twitter.com/TikTokPolicy/status/1881030712188346459#m
๐1
ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐
Bibi huyo alifanikiwa kununua kompyuta yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 60 alipolazimika kustaafu baada kufanya kazi kwenye benki zaidi ya miaka 43.

Kupitia jarida la TEDX tokyo alielezea jinsi alivyoanza kompyuta yake kwa kuanza kuzungumza mitandaoni akafanikiwa kufungua tovuti inayokufundisha Matumizi ya Excel na Microsoft office hatua kwa hatua.

KUTANA NA BIBI MWENYE UMRI WA MIAKA 81 ALIYEUNDA GAME MWENYEWE BAADA YA KUJIFUNZA PROGRAMMING LANGUAGE MWANZO MPAKA MWISHOโ๏ธ
THREAD ๐

Bibi huyo kutoka Japan sasa amekua ni mmoja wa wasaidizi kwenye kampuni ya apple dhidi ya uundaji na utengenezaji wa program za iphone.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
Jinsi ya Kutafuta Wastani wa Data zako Katika Excel kwa Kutumia AVERAGE
Katikao hii, utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kutumia fomula ya AVERAGE katika Microsoft Excel ili kutafuta wastani wa takwimu zako kwa haraka na kwa usahihi. Ikiwa wewe ndio kwanza unaanza kujifunza MS Excel au unataka kuboresha ujuzi wako wa Excel,o hii ni kwa ajili yako!
โ Utajifunza nini?
๐ขJinsi ya kuandika na kutumia fomula ya AVERAGE
๐ขMfano wa vitendo wa kutafuta wastani wa takwimu kwenye Excel
๐ขMbinu rahisi na za

Baada ya Binti yake kupata ajali ya gari alikua anasumbuliwa na Maumivu ya mkono ambapo alipoweza kuripoti kituo Cha hospital kitengo cha dharura na mtaalamu wa radiolojia walimuangalia kwenye X ray lakini hawakuona mvunjiko wowote.

Wiki kadhaa iliyopita mama mmoja aliweza kuisifu chati boti ya Elon musk, kwa kuweza kutambua kuvunjika mkono binti yake baada ya wataalam bingwa wa Matibabu kushindwa kujua.

BAADA YA MADAKTARI KUSHINDWA KUJUA AMEVUNJIKA MAENEO GANI AKILI BANDIA YA GROK IMEWASAIDIA KUJUA MFUPA ULIOVUNJIKA๐ณ
Tunakoelekea kuna hatari ya Teknolojia ya AI kuweza kuchukua nafasi kwenye kazi mbalimbali
Thread ni yako ๐

Lakini Mama huyo aliamua kutumia akili bandia ya chati boti ya Grok ndipo ilipomuonyesha mvunjiko kwenye mkono wa mbali. Baadae wataalamu wakapima Tena kwenye X ray ndipo walipofanikiwa kuona mvunjiko huo na kuweza kumfanyia upasuaji.

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu nafasi ya AI inavyoongezeka katika uchunguzi wa kimatibabu.
Ebu tuambie umeshawahi kutumia Chati boti ya Grok ๐

Baada ya TikTok, CapCut Kupigwa Stop Marekani, Instagram Yazindua โEditsโ: App Mpya ya Kuhariri Video
๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph
Baada ya TikTok, CapCut Kupigwa Stop Marekani, Instagram Yazindua โEditsโ: App Mpya ya Kuhariri Video
Katika wakati ambapo dunia inashuhudia marufuku kali dhidi ya TikTok na CapCut nchini Marekani, Instagram imechukua nafasi hiyo kwa kuzindua app mpya ya kuhariri video inayoitwa Edits. Je, hii ni mbinu ya Instagram kuvutia watumiaji wa CapCut na TikTok? Instagramโฆ
ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐
๐จ 2025 โ๏ธsolar storm
Hiki ni dhoruba la jua ambalo litaweza kuikumbuka dunia watu wataweza kuona dunia itakumbwa na dhoruba ya jua kuwa kali mara kumi yake.

๐จ 2027 kupatwa kwa jua kurefu zaidi
Hii tunaita LONGEST SOLAR ECLIPSE ambapo jua litapatwa itachukua muda mrefu zaidi itachukua dakika 6 na sekunde 33 itakua Agosti ambapo mara ya mwisho kutokea kupatwa kwa jua ilikaa muda mrefu ni mwaka 2009 na nyingine itatokea mwaka 2114.

๐จ Safari ya Mercury kwenye Jua
Novemba 7 2039 kutakua sayari ya Mercury itaweza kusafiri kwenye uso wa jua, usafiri huo utaweza kuonekana kwenye sehemu fulani ya dunia ambapo baadhi ya nchi wataweza kuona safari hiyo ya Mercury.

Haya ni matukio adimu sana yatatokea kuhusu sayari na Anga kwa ujumla ambayo yatajitokeza dunia kwa miaka 15 mpaka miaka 100 ijayo watu wengi mtashangaa Maajabu ya Sayari zilizoumbwa na Mwenyezi Munguโ๏ธ.

๐จ 2029 Apophis Asteroid
Hili ni jiwe kubwa jeusi litaweza kujitokeza kwenye Dunia na kuweza kuonekana ambayo huzunguka Jua na kuja karibu Dunia iligundulika mwaka 2004 inajulikana kama 99942 Apophis.

Usisahau kutu follow kujifunza mengi kuhusu Teknolojia, Ai na habari za Dunia kwa ufupi kila siku
@Bongotech255

๐จ 2034 Mvua ya kimondo
Tunaita leonid Meteor shower ambapo itakua mlipuko mkubwa wa mvua wa vimondo mkali mwaka 2034 ikiwa na dhoruba ya nyota zaidi 100,000 zitakazo sambaa angani na kupasuka pasuka kwa kishindo.

๐จ Septemba 8 2040
Utaweza kuona kupitia macho yako sayari zikijipanga kwenye Uso wa dunia kuanzia Mercury, Venus, Mars, Jupiter na Saturn ๐ช ambapo mwezi utawekwa kati kati ya sayari ya Venus na Saturn.