Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.6K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuchapisha Namba Shufwa (Even Numbers) | Mfano wa Kutumia for loop kwenye C++
Katika video hii, tunakufundisha jinsi ya kutafuta kuchapishamba zote shufwa (even numbers) kwa kutumia for loop kwenye C++. Video hii ni mwongozo mzuri kwa wanaoanza kujifunza programu, inalenga kukuonyesha jinsi ya kutumia if statement pamoja for loop ili kuchuja kuchapishamba shufwa kutoka 1 hadi n.

Utaweza kujifunza:
🟢👉Jinsi ya kutumia for loop kuchapishamba shufwa.
🟢👉Mantiki ya kutumia modulo operator (%
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

ZIFAHAMU MELI KUBWA DUNIANI | TEKNOLOJIA | USAFIRI
Fahamu meli 3 zinalizokaa katika sehemu muhimu katika historia ya teknolojia za safari za majini.

ZIFAHAMU MELI KUBWA DUNIANI | TEKNOLOJIA | USAFIRI
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

Make Etsy Wall Art Printables with DALLE3
Make Etsy Wall Art Printables with DALLE3 and start creating stunning, sellable digital artwork in minutes! This step-by-step tutorial will guide you through the entire process, from generating beautiful designs with DALLE3 to uploading and marketing your art on Etsy. Learn how to unlock your creative potential and turn your passion into a profitable business. Perfect for beginners and seasoned Etsy sellers alike, this video covers everything you need to
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

Call 1-800-CHATGPT
Call 1-800-CHATGPT (in the US and Canada only). It even works on flip phones and landlines.

To start, people will get 15 minutes per month of voice calling. This is an experimental way to talk to ChatGPT, so availability and limits may change.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuchapisha Herufi A hadi Z kwa Kutumia While Loop Kwenye C++
Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kutumia while loop kwenye C++ ili kuchapisha herufi za alfabeti kubwa kutoka A hadi Z. Video hii ni muhimu kwa wanafunzi wa programming wanaotaka kuelewa matumizi ya loops katika kazi za mfululizo wa herufi. Tutapitia programu rahisi na hatua kwa hatua kuelewa jinsi ya kutumia while loop kwa usahihi.

Utaweza kujifunza:
🟢👉Jinsi ya kutumia char kwa kazi zinazohusiana na herufi.
🟢👉Mantiki y
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

how Build home solar battery backup 300Ah Home Energy Storage Smart 12V BMS
12v inverter 2000W test with maximum continuous discharging current 300ah battery
In conclusion, our 2000W 12V inverter with a 300Ah battery is able to power high-load devices efficiently, making it an excellent power backup solution for home or office use.

Thanks for watching the video and don't forget to subscribe to our channel for more informative videos like this.

batterie Lifepo4 3.2V banggood👇👇
Coupon: BGa66afa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

ChatGPT : Have you tried this yet ✨
ChatGPT : Have you tried this yet ✨

Prompt: Write out a story of my dream life based on this list of things I would like to achieve [insert list]. Next, what do I need to do every day in order to achieve this dream life?
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuchapisha Namba 1 Hadi 10 kwa While Loop | Mfano wa kutumia While loop Katika++
Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kutumia while loop kwenye++ ili kuchapisha namba kutoka 1 hadi 10. Hii ni njia rahisi na ya msingi ya kuelewa matumizi ya while loops katika programu. Ikiwa wewe ni mwanzoni, video hii itakusaidia kuelewa jinsi ya kutumia while loop kwa usahihi na kwa ufanisi.

Utaweza kujifunza:
🟢👉Mantiki ya jinsi while loop inavyofanya kazi.
🟢👉Jinsi ya kuchapisha mfululizo wa namba k
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

Early preview of OpenAI o3 💯💯
We’re sharing evals for an early version of the next model in our o-model reasoning series: OpenAI o3. On several of the most challenging frontier evals, OpenAI o3 sets new milestones for what’s possible in coding, math, and scientific reasoning.

It also makes significant progress on the ARC-AGI evaluation for the first time.

We plan to deploy these models early next year, but we’re opening up early access applications for safety and security researchers to test t
🆕 Katika majaribio, WhatsApp itaongeza sehemu maalum ya kuzungumza na AI, watumiaji wataweza kutengeneza AI na kuzipa marina; pia wataweza kuona AI mbalimbali ambazo zimetengenezwa na watu wengine.

Sehemu mpya itachukua nafasi ya Communities kwenye menyu ya chini.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

Search with Advanced Voice in ChatGPT
Search with Advanced Voice in ChatGPT and revolutionize how you interact with AI. In this video, we’ll walk you through how to enable and optimize voice search for better and faster results.

Whether you're a beginner or an advanced user, you will discover how voice search can help you save time and streamline your experience.

Learn the key tips and tricks to make the most out of ChatGPT’s advanced voice feature. Don’t miss out on this game-changing techn