Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
PF600U ina resolution ya FHD (1,920 x 1,080) na inatumia LED (RGBB) na bei yake ya kawaida.

Ipo kama taa ya kawaida ya nyumbani lakini ni inaweza kutumika kama SmartTV, spika ya bluetooth au kama taa ya kawaida.
1
RTX-50 zilizotoka ni RTX 5090 ($1,999); RTX 5080 ($999); RTX 5070 Ti ($749); RTX 5070 ($549). Zinatumia double flow fans, zinaweza kuhamisha 1.7TB kwa sekunde, CUDA Cores zaidi ya 21,700, na zina nguvu kubwa katika games na graphics.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Nvidia imetambulisha GPU mpya za RTX-50 ambazo zina nguvu kubwa sana kwenye graphics hasa kwa watumiaji wa games na graphic editors ambao wanahitaji kompyuta ambazo zina nguvu kubwa kwenye graphics.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mfano game ya  Cyberpunk 2077 inafika frames 238 kwa sekunde ambapo ni zaidi ya mara mbili ya uwezo wa RTX 4080.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Cool Set Features No One Told You About In Python
In today’s video we’re going to be going over some set features that you probably never knew of. It’s a lot of sugar syntax, and mostly operators, but still very good to know about (even if you choose to never use them, you might eventually see code that uses these).

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels