Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
PFHxA inaweza kutolewa kwa urahisi kutoka kwenye uso wa mikanda ya saa iliyotengenezwa kwa fluoroelastomers, ikisababisha uwezekano mkubwa wa kuhamia kwenye ngozi kupitia jasho na kuleta madhara kwa mvaaji.

PFHxA imehusishwa na kuwa sababu kubwa ya kansa na madhara kwenye mwili
Utafiti mpya umebaini kuwa mikanda ya saa za kisasa (smartwatch) zimejaa kemikali zenye sumu isiyoondoka kwenye mwili (forever chemicals)
Kama unatumia Apple Watch, soma kwenye details kuna mikanda itaona kuna alama ya "Carbon Neutral" katika mikanda ambayo ni salama isiyo na fluoroelastomer
Watumiaji wengi wa smartwatch hawasomi kwenye taarifa za mikanda huwa imeandikwa ina fluoroelastomer.

Hii sio mikanda salama kwa mtumiaji! Ni sumu ambayo haiwezi kuondolewa kwenye mwili kwa urahisi endapo ikiingia kwenye mwili.
Iwapo mtumiaji anatamani kununua mkanda wa bei ya juu, tunapendekeza asome maelezo ya bidhaa na kuepuka zile zilizoainishwa kuwa zina fluoroelastomers.

Pendelea kutumia mikanda ya
- Ngozi
- Stainless steel
- Fine Woven
- Sport Loop za carbon neutral
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The True Power of "ChainMap" in Python
In today's video we're going to be learning how ChainMap works in Python.

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

infinix x6810 imei repair
infinix x6810 imei repair da mode
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

TOTAL IDIOTS AT WORK CAUGHT ON CAMERA
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Make PCB Board in 3 Ways and Create FM Radio Receiver Project ? JLCPCB
The fastest way to make crisp PCBs at home! DIY PCB Fabrication?
how to make pcb board at home,
Get High-quality PCB Prototype at JLCPCB for Just $2! Sign up to Get $80 Coupons: 【 https://jlcpcb.com/?from=inventorKR
****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here :【 https://ko-fi.com/inventorkr/shop
****************************
Channel Blog:【
Enzi hizi Sony ilikuwa inaheshimika kama Apple
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Soko la ushindani wa simu linazidi kuongeza ubunifu na kufanya simu kuwa imara zaidi.

Wiki hii Oppo imeonyesha uwezo mkubwa wa simu yake ya OPPO A5 Pro ambayo ina uwezo wa kuhimili baridi kali na joto kali (-30°C mpaka 47°C).
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

A245F not connect jtag plus
A245F not connect jtag plus
Just do what I say and connect the reset line for two seconds.

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways o