Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.62K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ†• Google Photos imebadili sehemu ya "Memories" kuwa "Moments" na kuhamisha kipengele hiki kwenye tab ya Collections.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Fahamu Kuhusu Nested If Statements Katika C++ | Ufafanuzi Hatua kwa Hatua
Katika video hii, utajifunza kuhusu nested if statements katika C++ na jinsi ya kuzitumia kwenye programu zako. Tutapitia mifano rahisi na ya vitendo ili kuelewa jinsi ya kushughulikia maamuzi yanayohusiana ndani ya programu. Ni kipengele muhimu kwa kuandika programu zenye mantiki tata!

⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐

πŸŽ₯ Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! πŸŽ₯

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: πŸ”Ή
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Samsung A33 5G A336B frp bypass by chimera tools
Samsung A33 5G A336B frp bypass by chimera tools
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@g
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Basic Linux Commands - Viewing & Editing Files | Mafunzo ya Kali Linux
🌟 Karibu kwenye Sehemu ya Nne ya Mafunzo Yetu ya Kali Linux! 🌟
Katika video hii, tunajifunza jinsi ya kutazamaa kuhariri faili kwa kutumia command za msingi za Linux. Hiii muhimu kwa mtu yeyote anayefanya kazi kwenye mfumo wa Linux. πŸ“

πŸ”§ Command Utakazojifunza:
βœ”οΈ cat - Kutazama yaliyomo ya faili
βœ”οΈ less - Kutazama faili kubwa hatua kwa hatua
βœ”οΈ more - Kutazama faili kwa sehemu
βœ”οΈano - Kuhariri faili kwa urahisi
βœ”οΈ echo - K
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Vajont Dam : The Deadliest Dam Tragedy in Human History
Let's understand the complete science behind the biggest dam tragedy in human history. If you like my work, please don't forget to support us on Patreon - https://www.patreon.com/sabins
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi ya Kubadili Picha na Jina la Group la Whatsapp | Whatsapp Tutorials
Katika video hii, utajifunza jinsi ya kubadili picha na jina la group lako la WhatsApp kwa urahisi. Ikiwa unataka kuimarisha muonekano wa group lako au kubadilisha jina linaloendana zaidi na maudhui, hii ni video inayokuhusu! 🎨✨

πŸ‘‰ Utaelewa:
-Hatua za kubadilisha picha ya group ili kufanya iwe ya kipekee nautia. πŸ–ΌοΈ
-Jinsi ya kubadilisha jina la group kwa usahihi bilauruga mipangilio. ✍️
-Vidokezo vya kutumia picha na majin
πŸ”Œβš‘οΈπŸš™ China inaongoza kwa kuweka maeneo ya kuchaji magari ya umeme kwa spidi kubwa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi ya Kujua Bei za Simu Mpya za Smartphone hapa nchini Tanzania
Hakuna Tena Kupata shida Kujua Bei za Simu za Smartphone endapo unataka kununua Lakini haujui Ni shilingi ngapi angalia video hii ujifunze
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

HIVI NI KWANINI DUNIA INATAKA KUTUMIA ROBOTS, HIZI NDIYO ROBOTI MPYA.
πŸ“œ Innovation for the future

we strive to educate you in the world of science. We're delighted to hear your thoughts.

oday's session will focus on the education available in this year's new robots.

We greatly respect all YouTube policies and copyrights. We also appreciate your feedback as it's one way to improve our services.

message at Email: perfectsidetz@gmail.com

subscribe our channel πŸ””
KIPINDI...
ROBOTI MPYA
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Xiaomi poco x5 pro HyperOs frp bypass without pc (setting not open!)
Xiaomi poco x5 pro HyperOs frp bypass without pc
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of