Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Unatumia Z FOLD 6 ,Watch Ultra na Buds 3 Pro , RAHA SANA!

Unatumia Z FOLD 6 ,Watch Ultra na Buds 3 Pro , RAHA SANA!
Huawei imezindua gari mpya ya kifahari inayoitwa Maextro S800. Ni gari la kifahari ambalo linatumia umeme.

Ina Level 3 katika kujiendesha kulinganishwa na Autopilot ya Tesla (Level 2). Hii inamaanisha kuwa S800 inaweza kushughulikia kazi nyingi za kujindesha kwa kujitegemea.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS CONSTRUCTION WORKERS THAT ARE AT ANOTHER LEVEL
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
🆕 Google Photos imebadili sehemu ya "Memories" kuwa "Moments" na kuhamisha kipengele hiki kwenye tab ya Collections.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Fahamu Kuhusu Nested If Statements Katika C++ | Ufafanuzi Hatua kwa Hatua
Katika video hii, utajifunza kuhusu nested if statements katika C++ na jinsi ya kuzitumia kwenye programu zako. Tutapitia mifano rahisi na ya vitendo ili kuelewa jinsi ya kushughulikia maamuzi yanayohusiana ndani ya programu. Ni kipengele muhimu kwa kuandika programu zenye mantiki tata!



🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung A33 5G A336B frp bypass by chimera tools
Samsung A33 5G A336B frp bypass by chimera tools
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@g
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Basic Linux Commands - Viewing & Editing Files | Mafunzo ya Kali Linux
🌟 Karibu kwenye Sehemu ya Nne ya Mafunzo Yetu ya Kali Linux! 🌟
Katika video hii, tunajifunza jinsi ya kutazamaa kuhariri faili kwa kutumia command za msingi za Linux. Hiii muhimu kwa mtu yeyote anayefanya kazi kwenye mfumo wa Linux. 📝

🔧 Command Utakazojifunza:
✔️ cat - Kutazama yaliyomo ya faili
✔️ less - Kutazama faili kubwa hatua kwa hatua
✔️ more - Kutazama faili kwa sehemu
✔️ano - Kuhariri faili kwa urahisi
✔️ echo - K
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Vajont Dam : The Deadliest Dam Tragedy in Human History
Let's understand the complete science behind the biggest dam tragedy in human history. If you like my work, please don't forget to support us on Patreon - https://www.patreon.com/sabins
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kubadili Picha na Jina la Group la Whatsapp | Whatsapp Tutorials
Katika video hii, utajifunza jinsi ya kubadili picha na jina la group lako la WhatsApp kwa urahisi. Ikiwa unataka kuimarisha muonekano wa group lako au kubadilisha jina linaloendana zaidi na maudhui, hii ni video inayokuhusu! 🎨

👉 Utaelewa:
-Hatua za kubadilisha picha ya group ili kufanya iwe ya kipekee nautia. 🖼️
-Jinsi ya kubadilisha jina la group kwa usahihi bilauruga mipangilio. ✍️
-Vidokezo vya kutumia picha na majin
🔌⚡️🚙 China inaongoza kwa kuweka maeneo ya kuchaji magari ya umeme kwa spidi kubwa