This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
This EV has a LOT of Tech
Li Auto Mega is not sold in the US, but... what if it was?

๐ Tigo sasa imebadilishwa jina na kuwa Yas, hatua mpya kutoka AXIAN Telecom kuleta mshikamano wa chapa moja kwenye bara la Afrika.
Mitandao ya simu ya Telma, tiGo, free na Togocom sasa inakuwa ni brand moja inayotumia jina moja la 'Yas'.

๐ฅ1
โAI imekuwa kwa kasi, lakini wengi hawafahamu kuna watu wanapata kazi na taabu za kufundishia AI ili kuiboresha na kuipa data kubwa za kuifanya AI izidi kuwa smart.
Unaweza kufuatilia story kamili kupitia makala ya '60 Minutes'
youtu.be/qZS50KXjAX0

YouTube
Training AI takes heavy toll on Kenyans working for $2 an hour | 60 Minutes
Digital workers in Kenya had to sift through horrific online content to train AI, but say they were underpaid, overworked, and got inadequate mental health support. So theyโre fighting back.
"60 Minutes" is the most successful television broadcast in history.โฆ

Tittle za kazi ambazo wanapewa wakati wa kuomba kazi ni "Call Center Agents"
Pia mikataba yao imekuwa ikificha mambo mengi na kutokuwa na uhalisia.

Kampuni nyingine ya Kenya ambayo nayo imepewa malalamiko kama haya ni Scale AI ya Kenya
Ambayo nayo pia inawapa watu kazi za kuhakiki picha na video kwa matumizi ya kufundishia AI
Inasimamia website ya Remotask

๐ Habari mpya za Samsung Galaxy S25 Ultra zimevuja!
๐ฑ Picha mpya zinaonyesha muonekano wa S-Pen na mfumo mpya wa One UI 7

Remotask inawapa Wakenya kazi kupitia mtandaoni, kazi za kufundishia AI kwa kujibu maswali, kutambua vitu kwenye picha na kurekebisha makosa ya AI
Imekuwa ikilalamikiwa kwa kufunga akaunti za watu muda mchache kabla ya payday kufika hivyo inakuwa kama imekimbia na pesa za watu
Imekuwa ikilalamikiwa kwa kufunga akaunti za watu muda mchache kabla ya payday kufika hivyo inakuwa kama imekimbia na pesa za watu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
NINI MAANA YA STAR LINK? (INTERNET YA ELON MUSK), HII NDIO MAANA YAKE
๐ Innovation for the future
we strive to educate you in the world of science. We're delighted to hear your thoughts.
Todayโs episode looks at what the meaning of Elon Musk's internet is.
We greatly respect all YouTube policies and copyrights. We also appreciate your feedback as it's one way to improve our services.
message at Email: perfectsidetz@gmail.com
subscribe our channel ๐
KIPINDI...
MAANA YA INTERNET YA STAR LINK