Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Usiwaze kabisa kwamba ukitumia huishia kwenye safari pekee ! Bolt uhakikisha kwenye safari yoyote ile haupo pekee yako ! Na likitokea tatizo ipo kukusaidia kupitia @bolt_tanzania
Mwaka 2025, Apple ina mpango wa kutoa aina mpya ya iPhone ambayo itakuwa inaitwa iPhone Air.

Apple itaacha kutengeneza iPhone Plus na itahamia kwenye iPhone Air.

iPhone Air itakuwa kama iPhone XR lakini itakuwa flat. 2025 iPhone XR itakosa support ya updates mpya.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kubadilisha Password ya Router ya Airtel 5G Smartbox | Jiweke Salama
🌟 Jifunze jinsi ya kubadilisha password ya router yako ya Airtel 5G Smartbox kwa urahisi!

Katika video hii:
🟢Tutaonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuingia kwenye interface ya router yako.
🟢Utajifunza kubadilisha password ya ili kulinda mtandao wako dhidi ya matumizi yasiyoruhusiwa.

📌 Mambo utakayojifunza:
🟢Namna ya kuunganisha router yako kwenye kifaa (laptop/kompyuta/simu).
🟢Jinsi ya kufikia interface ya router kwa
Usisubiri iPhone 17 ya kwaida kwa kutegemea itakuwa na kamera kali kuliko iPhone 16.

Kwa sababu ripoti mpya zinaonyesha Apple haitaweka mfumo wa kamera ya tetraprism ambayo inawezesha 5x optical zoom kwenye kamera za iPhone katika iPhone 17 za kawaida.
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Kompyuta ni Nini? Sehemu Kuu na Vipengele vya Kompyuta
Je, unajua kompyuta ni nini? Katika video hii, tunajadili maana ya kompyuta, sehemu kuu za kompyuta, na vipengele muhimu vinavyounda kompyuta ya kawaida. Ni mwongozo bora kwa wanaoanza safari ya kuelewa misingi ya kompyuta.



🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
...na mengine mengi ya kuvutia!
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Creating Coloring Pages with DALL-E3
Creating coloring pages with DALL-E3 is a fun and innovative way to bring your artistic ideas to life. In this video, we’ll take you through a step-by-step guide to using DALL-E3, OpenAI’s groundbreaking AI tool, to design intricate and customizable coloring pages. Whether you’re a beginner or a pro, DALL-E3 makes it easy to create stunning, professional-quality designs.

We’ll start by introducing DALL-E3’s interface and features, showcasing how you can use
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make wireless camera transmitter? Make 500 Meter Range Wireless
how to make wireless camera transmitter Make 500 Meter Range Wireless
Get High-quality PCB Prototype at JLCPCB for Just $2! Sign up to Get $80 Coupons: 【 https://jlcpcb.com/?from=inventorKR
****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here :【 https://ko-fi.com/inventorkr/shop
****************************
Channel Blog:【 https://inventorkr.blogspot.com/
Acha Kutumia VPN gusa link moja katika hizo👇, kisha fuata👣 maelekezo machache tu hapo chini👇👀

1. https://t.me/ProxyMTProto

2. https://t.me/TelMTProto

3. https://t.me/mtpro_xyz


unaweza kujiunga au uka contact poroxy tu na ukaacha kujiunga na channels hizo yote sawa tu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

This EV has a LOT of Tech
Li Auto Mega is not sold in the US, but... what if it was?
🆕 Tigo sasa imebadilishwa jina na kuwa Yas, hatua mpya kutoka AXIAN Telecom kuleta mshikamano wa chapa moja kwenye bara la Afrika.

Mitandao ya simu ya Telma, tiGo, free na Togocom sasa inakuwa ni brand moja inayotumia jina moja la 'Yas'.
🔥1
Google imeanzisha kipengele kipya cha 'Page Annotations' kwenye iOS kinachoweka links kwenye taarifa za maelezo ya Google Search.

Wamiliki wa tovuti wanaweza kujiondoa, lakini mchakato huo unaweza kuchukua hadi siku 30.