Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Tofauti Kati Ubuntu na Kali Linux | Linux Ni Nini? (Ufafanuzi Rahisi kwa Kila Mtu)
💻 Tofauti Kati Ubuntu na Kali Linux | Linux Ni Nini? 🐧

Karibu kwenye video yetu leo ambapo tutaelezea kwa ufupi na kwa urahisi:
Linux ni nini na kwa nini ni muhimu!
Ubuntu vs Kali Linux: Nani anatumia nini?
Mfumo upi unakufaa kulingana na mahitajiko!

Ubuntu ni rahisi kutumia kwa kazi za kila siku, huku Kali Linux ikiwa chaguo la wataalamu wa Cybersecurity na Ethical Hacking. Hii ni video bora kwa wanaoan
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutengeneza Wallpaper yako kwa mtindo huu kutumia App ya Pixellab
Bila Shaka ungependa kujifunza kutengeneza Wallpaper yako kwa style au mtindo huu nimekuandalia maelekezo Hatua kwa Hatua jinsi ya kutengeneza angalia

Qualcomm PM6150
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com

Jinsi ya | Kuwekea Shape Picha yako | kutumia App ya Pixellab
Akuna ubishi kwamba App ya Pixellab Ni App ambayo ukitaka kuonyesha ubunifu wako wowote unaweza kuonyesha na leo nakuonyesha njia hii ya Kuwekea Shape Picha yako kutumia App ya Pixellab Ni rahisi na rakaka ona

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

assembling and running the cheapest Engine model V8 Engines , stirlingkit
You've never seen it before, building a small, high-speed cylinder engine.
Assemble and run your miniature 8 cylinder flat petrol engine!
assembling and running the cheapest Engine model V8 Engines , stirlingkit
Engine from here 👇👇
https://www.stirlingkit.com/collections/new-arrivals/products/enjomor-1-6-scale-big-block-v8-engine-kits-that-works-fully-3d-printed?ref=rvnqi3sl

The Miniature Flathead 8 Cylinder Gasoline Engi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

CONSTRUCTION TIPS AND TRICKS THAT REALLY WORK
https://www.youtube.com/@dzengen

For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Data na Information: Tofauti na Umuhimu Wake Katika Teknolojia
Katika video hii, tunachunguza maana ya data na taarifa, tofauti kati ya hizo mbili, na jinsi zinavyotumika katika teknolojia ya habari. Utapata uelewa wa msingi kuhusu jinsi data inavyobadilishwa kuwa taarifa yenye maana kwa maamuzi bora.

🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
...na me
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung A05 A055F frp bypass by chimera tools
Samsung A05 A055F frp bypass by chimera tools
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.c
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutuma Pesa kwa Haraka kwa Kutumia Tigo Pesa App | Mwongozo Kamili
🌟 Jifunze jinsi ya kutuma pesa kwa urahisi na haraka ukitumia Tigo Pesa App!
Katika video hii:
🟢Tutaelezea hatua kwa hatua jinsi ya kutumia Tigo Pesa App kutuma pesa kwa mtu yeyote.
🟢Utajifunza mbinu bora za kuhakikisha miamala yako iko salama.
🟢Video hii imekusudiwa kukusaidia kuokoa muda na kufurahia huduma bora za kifedha.

📌 Mambo muhimu yatakayojadiliwa:
🟢Jinsi ya kuingia kwenye Tigo Pesa App.
🟢Namna ya kuingiza na
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Usiwaze kabisa kwamba ukitumia huishia kwenye safari pekee ! Bolt uhakikisha kwenye safari yoyote ile haupo pekee yako ! Na likitokea tatizo ipo kukusaidia kupitia @bolt_tanzania
Mwaka 2025, Apple ina mpango wa kutoa aina mpya ya iPhone ambayo itakuwa inaitwa iPhone Air.

Apple itaacha kutengeneza iPhone Plus na itahamia kwenye iPhone Air.

iPhone Air itakuwa kama iPhone XR lakini itakuwa flat. 2025 iPhone XR itakosa support ya updates mpya.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kubadilisha Password ya Router ya Airtel 5G Smartbox | Jiweke Salama
🌟 Jifunze jinsi ya kubadilisha password ya router yako ya Airtel 5G Smartbox kwa urahisi!

Katika video hii:
🟢Tutaonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuingia kwenye interface ya router yako.
🟢Utajifunza kubadilisha password ya ili kulinda mtandao wako dhidi ya matumizi yasiyoruhusiwa.

📌 Mambo utakayojifunza:
🟢Namna ya kuunganisha router yako kwenye kifaa (laptop/kompyuta/simu).
🟢Jinsi ya kufikia interface ya router kwa
Usisubiri iPhone 17 ya kwaida kwa kutegemea itakuwa na kamera kali kuliko iPhone 16.

Kwa sababu ripoti mpya zinaonyesha Apple haitaweka mfumo wa kamera ya tetraprism ambayo inawezesha 5x optical zoom kwenye kamera za iPhone katika iPhone 17 za kawaida.
👍1