Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Mfumo mpya wa Android 16 Developer Preview 1 umetoka
👍1
Kampuni ya simu ya Nothing imecheza na kiki ya Jaguar 🤣
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi note 12 (tapas) Imei Repair /eng rom /flash official rom
Xiaomi redmi note 12 (tapas) Imei Repair /eng rom /flash official rom
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
T
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Ku Edit Picha kwa Style hii kwa Ajili ya Profile ya WhatsApp
Unaweza pia kuitumia picha hiyo kwenye profiles za mitandao Mingine mfano Facebook, Instagram, Telegram, Mtandao wa X, hata YouTube banner ya Account yako Jifunze Sasa jinsi ya kutengeneza picha kwa Style hii
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hii brand ya VP inakuja kufanya tofauti sana na wala sio muda mrefu @verapoint Call 0756445759
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Wacky Python Features
In today's video we're going to be exploring five wacky Python features.

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels

00:00 Learning Python made simple
00:05 Intro
00:11 Walrus operator
05:28 Underscore magic
07:20 @ operator
09:53 Bitwise magic
12:23 Lambda decorators
15:15 Conclusion
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hatua za Kumfanya Mtu Admin na Kumuondoa Admin Kwenye Group la WhatsApp
👋 Karibu kwenye Video Yetu Mpya!

Katika video hii, utajifunza jinsi ya kumpa mtu u-admin na kuondoa admin katika group la WhatsApp kwa urahisi na haraka. 📲

👉 Tutakuonyesha:
Hatua rahisi za kumfanya mshiriki admin wa group lako. 👥
Jinsi ya kuondoa admin aliyepo bila kuondoa mshiriki kutoka group. 🔄
Vidokezo vya kudhibiti na kusimamia admins kwa ufanisi. 🛠️
Video hii ni mwongozo kamili kwa wale wanaosimamia groups za WhatsA
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kumtoa mtu katika Group la Whatsapp

🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
...na mengine mengi ya kuvutia! 🎉

📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.

🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha
👍1
🆕 Mark Zuckerberg ametangaza kipengele kipya cha kutafsiri ujumbe wa sauti kwenye WhatsApp.

Kipengele hiki ni muhimu kwa watumiaji ambao hawawezi kusikiliza ujumbe wa sauti au ambao hawapo katika mazingira ambayo ni vigumu kusikiliza ujumbe wa sauti
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

COMRADE MOKIWA NA TEKNOLOJIA - 2024 NOV, JANGA KARIAKOO, TANZANIA, KUUZA CHROME?
Tuzungumze kuhusu
1. Janga la Kariakoo na changamoto za kiteknolojia katika usambazaji wa upotoshaji.
2. Ujio wa Tanzania, je unategemea kutumia huduma hii?
3. watakiwa kuuza kivinjari cha kwenda kampuni nyingine ili kushinda kesi ya Ushindani kwenye soko, je watafanikiwa?

Like, Share na
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Power key why don't work
Why does the power button of mobile phones not work properly after a while and we have to replace it
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our w
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Tujifunze Kali Linux Hatua kwa Hatua - Utangulizi
🌟 Karibu kwenye Safari ya Kujifunza Kali Linux Hatua kwa Hatua! 🌟

Katika video hii ya utangulizi, tunaanza safari ya kusisimua ya kuelewa na kutumia Kali Linux, mfumo wa kipekee wa usalama wa mitandao 🛡️ na uchunguzi wa mifumo. Ikiwa wewe ni mwanafunzi, mtaalamu wa teknolojia, au mwenye shauku ya cybersecurity, basi hii ni playlist bora kwa ajili yako! 🚀

🔍 Utajifunza nini kwenye video hii?
✔️ Kali Linux ni nini na inatumika kwa nini?
✔️ Maand
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Tofauti Kati Ubuntu na Kali Linux | Linux Ni Nini? (Ufafanuzi Rahisi kwa Kila Mtu)
💻 Tofauti Kati Ubuntu na Kali Linux | Linux Ni Nini? 🐧

Karibu kwenye video yetu leo ambapo tutaelezea kwa ufupi na kwa urahisi:
Linux ni nini na kwa nini ni muhimu!
Ubuntu vs Kali Linux: Nani anatumia nini?
Mfumo upi unakufaa kulingana na mahitajiko!

Ubuntu ni rahisi kutumia kwa kazi za kila siku, huku Kali Linux ikiwa chaguo la wataalamu wa Cybersecurity na Ethical Hacking. Hii ni video bora kwa wanaoan