Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ“ข Tanzania, Get ready for the PIP STOP EVENT SERIES happening this Saturday, November 23rd! Whatโ€™s in it for you? ๐Ÿ”ฅ Exclusive trading strategies ๐Ÿค Networking with experts ๐ŸŽ Special bonuses for attendees Time: 10 AM - 02 PM sharp! ๐Ÿ‘‰ Register now through the link in our bio or call +255 627 605 807, +255 657 054 052 Donโ€™t miss out โ€“ limited seats available!
๐Ÿ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Utangulizi wa Kozi ya IT: Nini Maana ya IT na ICT? (Hatua kwa Hatua Tujifunze Pamoja)
Karibu video ya kwanza ya kozi yetu ya kujifunza Information Technology (IT) kutoka mwanzo hadi ngazi ya juu. Katika utangulizi huu, tutajadili maana ya IT na ICT, umuhimu wake katika maisha yetu ya kila siku, na jinsi teknolojia inavyoathiri dunia ya sasa. Ni video bora kwa wale wanaoanza safari yao ya kuelewa teknolojia ya habari na mawasiliano.

โญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญ

๐ŸŽฅ Karibu sana Channel ya Mohamed Hafidh!
๐Ÿ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jaguar imeanza kubadilisha brand yake, ni hatua za kuanza safari mpya ya biashara ya magari ya umeme.

Promo yake ni mbaya na imezua maswali mengi. Hata Elon ameshangaa na kuuliza kama ni promo ya kampuni ya kuuza magari.

Promo imejaa mambo ya upinde sana na haina magari https://twitter.com/Jaguar/status/1858800846646948155#m
๐Ÿ‘1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

INGENIOUS TOOLS ON AMAZON THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
1) Klein Tools Fan
https://www.youtube.com/watch?v=mAw0F7FN9Pg

2) RIDGIDยฎ K-4310 FXPโ„ข Drum Machine
https://www.youtube.com/watch?v=7ZzB3w45nxQ

3) Milwaukeeยฎ Nibbler
https://www.youtube.com/watch?v=lcTV3wWxwuw

4) TOLSEN Hand Riveter
https://www.youtube.com/watch?v=x2s11uSIZn4

5) STANLEY Table Saw
https://www.amazon.com.mx/dp/B08C5JXKK7

6) Metabo HPT Rebar Bender and Cutter
https://www.amazon.com/dp/B07M9ZD6S6

7) Oregon CS1500
๐Ÿ‘1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

mini pc raspberry pi 5 case, Pironman 5, DIY Mini multi function PC
Pironman 5 Setup: Raspberry Pi 5 Case with NVMe M.2 SSD - Mini Pi PC, When your case is more expensive than your computer
Product from here ๐Ÿ‘‡
https://www.sunfounder.com/products/pironman-5-nvme-m-2-ssd-pcie-mini-pc-case-for-raspberry-pi-5
****************************
You can buy me coffee here https://ko-fi.com/inventorkr ใ€‘
Circuits diagrams and code here https://ko-fi.com/inventorkr/shop ใ€‘
****************************
Channel B
๐Ÿ‘1
๐Ÿ†• Mfumo mpya wa Android 16 Developer Preview 1 umetoka
๐Ÿ‘1
Kampuni ya simu ya Nothing imecheza na kiki ya Jaguar ๐Ÿคฃ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Xiaomi redmi note 12 (tapas) Imei Repair /eng rom /flash official rom
Xiaomi redmi note 12 (tapas) Imei Repair /eng rom /flash official rom
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
T
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Jinsi ya Ku Edit Picha kwa Style hii kwa Ajili ya Profile ya WhatsApp
Unaweza pia kuitumia picha hiyo kwenye profiles za mitandao Mingine mfano Facebook, Instagram, Telegram, Mtandao wa X, hata YouTube banner ya Account yako Jifunze Sasa jinsi ya kutengeneza picha kwa Style hii
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Hii brand ya VP inakuja kufanya tofauti sana na wala sio muda mrefu @verapoint Call 0756445759
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Wacky Python Features
In today's video we're going to be exploring five wacky Python features.

โ–ถ Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

โ–ถ Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels

00:00 Learning Python made simple
00:05 Intro
00:11 Walrus operator
05:28 Underscore magic
07:20 @ operator
09:53 Bitwise magic
12:23 Lambda decorators
15:15 Conclusion
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Hatua za Kumfanya Mtu Admin na Kumuondoa Admin Kwenye Group la WhatsApp
๐Ÿ‘‹ Karibu kwenye Video Yetu Mpya!

Katika video hii, utajifunza jinsi ya kumpa mtu u-admin na kuondoa admin katika group la WhatsApp kwa urahisi na haraka. ๐Ÿ“ฒโœจ

๐Ÿ‘‰ Tutakuonyesha:
Hatua rahisi za kumfanya mshiriki admin wa group lako. ๐Ÿ‘ฅ
Jinsi ya kuondoa admin aliyepo bila kuondoa mshiriki kutoka group. ๐Ÿ”„
Vidokezo vya kudhibiti na kusimamia admins kwa ufanisi. ๐Ÿ› ๏ธ
Video hii ni mwongozo kamili kwa wale wanaosimamia groups za WhatsA
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Jinsi ya Kumtoa mtu katika Group la Whatsapp
โญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญโญ

๐ŸŽฅ Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! ๐ŸŽฅ

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: ๐Ÿ”น Teknolojia
๐Ÿ”น Afya
๐Ÿ”น Mazingira
๐Ÿ”น Sayansi
๐Ÿ”น Motisha
...na mengine mengi ya kuvutia! ๐ŸŽ‰

๐Ÿ“Œ Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake ๐Ÿ’ช.

๐ŸŒŸ Kumbuka kujiunga nasi! ๐ŸŒŸ
๐Ÿ‘‰ Bonyeza kitufe cha
๐Ÿ‘1
๐Ÿ†• Mark Zuckerberg ametangaza kipengele kipya cha kutafsiri ujumbe wa sauti kwenye WhatsApp.

Kipengele hiki ni muhimu kwa watumiaji ambao hawawezi kusikiliza ujumbe wa sauti au ambao hawapo katika mazingira ambayo ni vigumu kusikiliza ujumbe wa sauti
๐Ÿ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

COMRADE MOKIWA NA TEKNOLOJIA - 2024 NOV, JANGA KARIAKOO, TANZANIA, KUUZA CHROME?
Tuzungumze kuhusu
1. Janga la Kariakoo na changamoto za kiteknolojia katika usambazaji wa upotoshaji.
2. Ujio wa Tanzania, je unategemea kutumia huduma hii?
3. watakiwa kuuza kivinjari cha kwenda kampuni nyingine ili kushinda kesi ya Ushindani kwenye soko, je watafanikiwa?

Like, Share na
๐Ÿ‘1