Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Instagram inafanya majaribio ya sehemu maalum ambayo itawezesha watumiaji wa Instagram kuanzisha upya algorithm na mapendekezo ya content ambazo wanaziona katika sehemu ya Explore, Reels na Feeds.
Hii itasaidia watumiaji kusafisha taarifa zote ambazo algorithm imekuwa ikikusanya kuhusu akaunti yako na interests zako.

Watumiaji waki-reset algorithm na mapendekezo ya post ambazo wanataka kuziona wataanza upya kuizoesha algorithm ya Instagram kufahamu interests zao.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

📢 Tanzania, Get ready for the PIP STOP EVENT SERIES happening this Saturday, November 23rd! What’s in it for you? 🔥 Exclusive trading strategies 🤝 Networking with experts 🎁 Special bonuses for attendees Time: 10 AM - 02 PM sharp! 👉 Register now through the link in our bio or call +255 627 605 807, +255 657 054 052 Don’t miss out – limited seats available!
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Utangulizi wa Kozi ya IT: Nini Maana ya IT na ICT? (Hatua kwa Hatua Tujifunze Pamoja)
Karibu video ya kwanza ya kozi yetu ya kujifunza Information Technology (IT) kutoka mwanzo hadi ngazi ya juu. Katika utangulizi huu, tutajadili maana ya IT na ICT, umuhimu wake katika maisha yetu ya kila siku, na jinsi teknolojia inavyoathiri dunia ya sasa. Ni video bora kwa wale wanaoanza safari yao ya kuelewa teknolojia ya habari na mawasiliano.



🎥 Karibu sana Channel ya Mohamed Hafidh!
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jaguar imeanza kubadilisha brand yake, ni hatua za kuanza safari mpya ya biashara ya magari ya umeme.

Promo yake ni mbaya na imezua maswali mengi. Hata Elon ameshangaa na kuuliza kama ni promo ya kampuni ya kuuza magari.

Promo imejaa mambo ya upinde sana na haina magari https://twitter.com/Jaguar/status/1858800846646948155#m
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS TOOLS ON AMAZON THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
1) Klein Tools Fan
https://www.youtube.com/watch?v=mAw0F7FN9Pg

2) RIDGID® K-4310 FXP Drum Machine
https://www.youtube.com/watch?v=7ZzB3w45nxQ

3) Milwaukee® Nibbler
https://www.youtube.com/watch?v=lcTV3wWxwuw

4) TOLSEN Hand Riveter
https://www.youtube.com/watch?v=x2s11uSIZn4

5) STANLEY Table Saw
https://www.amazon.com.mx/dp/B08C5JXKK7

6) Metabo HPT Rebar Bender and Cutter
https://www.amazon.com/dp/B07M9ZD6S6

7) Oregon CS1500
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

mini pc raspberry pi 5 case, Pironman 5, DIY Mini multi function PC
Pironman 5 Setup: Raspberry Pi 5 Case with NVMe M.2 SSD - Mini Pi PC, When your case is more expensive than your computer
Product from here 👇
https://www.sunfounder.com/products/pironman-5-nvme-m-2-ssd-pcie-mini-pc-case-for-raspberry-pi-5
****************************
You can buy me coffee here https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here https://ko-fi.com/inventorkr/shop
****************************
Channel B
👍1
🆕 Mfumo mpya wa Android 16 Developer Preview 1 umetoka
👍1
Kampuni ya simu ya Nothing imecheza na kiki ya Jaguar 🤣
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi note 12 (tapas) Imei Repair /eng rom /flash official rom
Xiaomi redmi note 12 (tapas) Imei Repair /eng rom /flash official rom
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
T
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Ku Edit Picha kwa Style hii kwa Ajili ya Profile ya WhatsApp
Unaweza pia kuitumia picha hiyo kwenye profiles za mitandao Mingine mfano Facebook, Instagram, Telegram, Mtandao wa X, hata YouTube banner ya Account yako Jifunze Sasa jinsi ya kutengeneza picha kwa Style hii
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hii brand ya VP inakuja kufanya tofauti sana na wala sio muda mrefu @verapoint Call 0756445759
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Wacky Python Features
In today's video we're going to be exploring five wacky Python features.

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels

00:00 Learning Python made simple
00:05 Intro
00:11 Walrus operator
05:28 Underscore magic
07:20 @ operator
09:53 Bitwise magic
12:23 Lambda decorators
15:15 Conclusion