Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.62K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

New in Python 3.13: The @deprecated decorator
New in Python 3.13: The @deprecated decorator. It's finally here! Now everyone can deprecate functionality super easily in Python.

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
🆕 WhatsApp imefanya mabadiliko alama ya Typing Indicator (kiashiria chake cha kuonyesha mtu anaandika) ili kiwe rahisi zaidi kutumia.

Kwa sasa, Typing Indicator mpya inaonekana kwenye sehemu ya chats na Groups, sawa na app nyingine kama vile iMessage, Messenger
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuondoa Data Speed Count | kuonyesha Kwenye Screen
Inaonyesha Kiwango Cha matumizi ya Data Pindi mtandao unapokua na kasi au unapokua hauna kasi yaani Down, Kama ukiona haikuvutii hii Unaweza kuondoa kupitia Setting
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kugundua Location Ambazo Simu yako Imepita kwa Kuset hivi
Itakusaidia pale ambapo umepoteza simu yako au Kuibiwa au hata Kama haujui wapi ilipo, Kupitia hii njia itaonyesha kila kitu Nchi, Mkoa na Hizo sehemu simu iliko Pitia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Ku-Activate Windows 7/8/10/11 na Microsoft Office Hatua kwa Hatua
Video hii ni maalumu kwa wale wote wanaohitaji ku-activate windows operating system zao lakini pia hata Microsoft Office kwa kupitia Video hii utaweza kufanya hivyo.

Ni rahisi sana na haihitaji uwe mzoefu sana wa kompyuta ndio uweze kufanya bali hata wewe unaweza ukafuata muongozo kwa kuangalia video hii naeza ku activate windows katika kompyuta yoyote ile.

Kama kuna sehemu utakuwa umekwama usisite kuuliza ilieza kusaid
🆕 Soko la simu za mkononi linaanza kuimarika tena, simu milioni 310 zilisafirishwa robo ya tatu 2023.

Samsung bado inaongoza, lakini Apple inamfuata kwa karibu kutokana na umaarufu wa iPhone 16.

Transsion imetoka Top 5, Oppo na Vivo zimerudi top 5
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi note 12s (sea) dead mode flash /hang on logo/imei repair
Xiaomi redmi note 12s (sea) dead mode flash /hang on logo/imei repair

fash file soon...

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and sub
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Filamu 10 Bora Zinazotokana na Matukio ya Kweli TRUE STORY
Je, unapenda filamu zinazotokana naatukio halisi? Katika video hii, tunakuletea orodha ya filamu 10 bora ambazo ziliundwa kutokana na hadithi za kweli za kushangaza na za kusisimua! Kutoka kwenye safari za kipekee za ujasiri hadiatukio ya kihistoria ambayo hayawezi kusahaulika, filamu hizi zitakufanya ushangae na kuzama ndani ya duniapya. Hizi si hadithi za kawaida – ni simulizi halisi zilizobadilishwa kuwa sinema kubwa naaarufu duniani.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya | Ku Adjust Mwanga wa Simu | ili Usikuumize Macho
Anza kuweka hivi unapo tumia Simu yako usipate changamoto za macho mfano kuwasha au kuchoma choma na kuona giza
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The M4 Mac Mini is Incredible!
The new $599 M4 Mac Mini is really good. In more than one way.

MKBHD Merch: http://shop.MKBHD.com

Apple Mac Mini M4: https://geni.us/XAWA0

Tech I'm using right now: https://www.amazon.com/shop/MKBHD

Playlist of MKBHD Intro music: https://goo.gl/B3AWV5

Computer provided by Apple for review.

~
http://twitter.com/MKBHD
http://instagram.com/MKBHD
http://facebook.com/MKBHD
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

New in Python 3.13: TypeIs
How's it going everyone? In today's video we're going to be learning how we can use the new TypeIs typing feature that we got in Python 3.13!

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hizi hapa Simu BORA za SAMSUNG na Bei zake, Nite 10 na Note 20 ultra
mawasilliano:-
whatsapp 0717506902

Katika video hii, tunakuchambulia kwa kina Samsung Note 10 Plus na Samsung Note 20 Ultra – simu mbili za kifahari zinazotoa ubora wa hali ya juu kwa watumiaji wanaotafuta nguvu, kasi, na teknolojia ya kisasa. Utaona tofauti kuu za sifa kama RAM, uhifadhi wa ndani, kioo, na kamera, na tutakusaidia kuchagua kati ya simu hizi mbili kulingana na mahitaji yako binafsi. Ukiwa na Note 10 Plus, unapa
🍕💰 Mwaka 1994, Chris Clark alinunua domain pizza.com kwa matumaini ya kuvutia kampuni ya pizza. Hakupata mafanikio, lakini akaendelea kulipia gharama ya domain kila mwaka.

Mwaka 2008, aliuza domain ya pizza.com kwa dola milioni 2.6!