Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ†• Apple imetangaza MacBook Pro mpya za inchi 14 na 16 zenye chipu za M4 Pro na M4 Max.

MacBook mpya zina DisplayPort 2.1 kupitia USB-C na Thunderbolt 5, ambayo inakubwa USB4. M4 Pro ina CPU ya 14 na GPU hadi 20, wakati M4 Max ina CPU 16 na GPU hadi 40.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

I Got THIS Easy Python Question Wrong
I got this easy Python question wrong.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

https://youtube.com/watch?v=AD6fPxu1igg
Ndege ya kwanza kuwekwa Starlink "Boeing 777 "Boeing 777" Elon Musk Live Qatar Airways
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

The MAGIC behind Da Vinci’s Self Supporting Bridge!
Hello everyone, let's explore the magical engineering behind Da Vinci's self supporing bridge. I hope you can support us on Patreon today - https://www.patreon.com/Sabins
Cheers Sabin Mathew
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

UNUSUAL VEHICLES FROM AROUND THE WORLD
1) Calidus GyroMotionWe4JxfVf-aU

2) Tazzari ZEROMAX
https://www.youtube.com/watch?v=-VtYlzNqlsc

3) Tazzari Zero 4 Buggy
https://www.youtube.com/watch?v=QHTYHd8T8gwvhN1FIoIiSo

4) MC One
https://www.youtube.com/watch?v=FhBEl7NY-8gbClbPt1jh9Q

5) Lazzarini Hyper Sport Jet Capsule
https://www.youtube.com/watch?v=krV2xnplmiM7WVT22jFs2Y

6) YAMAHA MAJESTY "Melted" CUSTOM
https://www.youtube.com/watch?v=ueDnHBwwCLI

7) City Transformer CT-2
https://www.yo
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

mini pc raspberry pi 5 case ? 52Pi ABS Case Kit
DON'T Buy a PC Without Watching This Video! 52Pi ABS Case Kit
Here you can read more about 52Pi ABS Case Kit for Raspberry Pi 5:
official shop: https://52pi.com/products/n07-minitower-nvme-nas-kit-for-raspberry-pi-5
Wiki: https://wiki.52pi.com/index.php?title=ZP-0172
Amazon links
https://www.amazon.de/dp/B0DDWLBPSY
https://www.amazon.fr/dp/B0DDWLBPSY
https://www.amazon.com/dp/B0DL2R33M9

Discover the ultimate 52Pi ABS Case Kit for Raspberry Pi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi ya | Ku Save Videos za Tiktok | Bila kuwa na Logo au Water Mark |
Unapenda kurudia mara kwa mara kuangalia Video za Tiktok kwa kuzipakua au ku save Lakini changamoto Ni kwamba video hizo zinaingia zikawa na Logo ya Tiktok au Water Mark, Jifunze jinsi ya kuondoa Hiyo Logo hapa
πŸ’‘ Touchscreen ya kwanza kwenye gari iliundwa mwaka 1986.

- Lakini teknolojia hiyo iliachwa kwa sababu wateja walilalamika kwamba ilikuwa inawalazimisha kuangalia skrini kuliko barabara hivyo ilipingwa kuwa sio salama.

- Lakini miaka ya sasa imekuwa kitu cha kawaida
πŸ†• Mfumo mpya wa simu za Samsung tayari umeanza kutoka kama sehemu ya majaribio.

Mabadiliko makubwa katika simu za Samsung mwaka huu, ni icons mpya, animations nzuri na mwonekano mpya. Mwaka huu Samsung imelenga maboresho ya mwonekano wa simu zake.
πŸ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Xiaomi redmi note 11 (spes) Imei Repair /Rsa Solution
Xiaomi redmi note 11 (spes) Imei Repair /Rsa Solution
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
tech
Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯πŸ™ŒπŸŒ https://twitter.com/TZMsemajiMkuu/status/1852308979034034311#m
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ†• Safari ya kwanza ya treni ya kisasa ya Electric Multiple Unit (EMU) maarufu kwa jina Treni ya mchongoko imeanza rasmi leo November 1, 2024 kutoka Stesheni Magufuli DSM hadi Stesheni Kuu ya Samia mkoani Dodoma.

Treni hii inabeba Abiria 589 kwa mwendo wa Km 160 / Saa 1
Diski ya 10MB - miaka ya 1960’s