Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.62K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿ†• Kuna dalili za kipengele kijacho kinachoitwa โ€œCopilot Vision,โ€ ambacho kitamruhusu Copilot kuelewa muktadha wa kurasa za wavuti na kujibu maswali kuhusu hayo.
๐Ÿ‘1
๐Ÿ†• Muonekano mpya wa Microsoft Edge Copilot sasa unapatikana kwa watumiaji wote, bila kujali toleo la Windows au njia ya usasishaji.
๐Ÿ‘1
๐Ÿ†• Mwonekano mpya wa Copilot unaweza kusoma tab zilizofunguliwa, kutoa muhtasari wa kurasa, na kueleza yaliyomo kwenye video za YouTube.
๐Ÿ‘1
Wafanyakazi na wakurugenzi wengi wa Apple wanatamani Craig Federighi awe CEO mpya wa Apple lakini Craig amewahi kusema wazi kuwa hataki kuwa CEO wa Apple.
๐Ÿ‘1
๐Ÿ†• Update mpya imeondoa kipengele cha โ€œCompose Boxโ€ kutoka kwenye dirisha la Copilot, ambacho awali kilitumika kuandika na kuweka muundo wa majibu.
John Ternus - Huyu ndio CEO wa Apple ANAYETARAJIWA kufuata baada ya Tim Cook
๐Ÿ‘1
Kingo za kioo cha Xiaomi 15 ni nyembamba kuliko iPhone 16 Pro
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Usiogope Kusifia Bidhaa yako Dhidi ya Mshindani mwako Mtandaoni.
Leo kula tip ya .....

โ€œUsiogope kuanzisha vita na mshindani wako linapokuja suala la social media marketing.

Tafuti zinaonesha Content za aina hii zinapata organic engagement zaidi na zinakumbukwa zaidi na wateja. Hii inaweza sababisha kupanda kwa and hence mauzo pia.โ€

For more info search Journal of Marketing Research: The Rivalry Reference Effect: Referencing Rival (vs. Nonrival) Competitors in Public Brand Messages Increase
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Jinsi ya Kutanguliza Video za Tiktok ( Pin Tiktok Videos )
Jifunze Hii itakusaidia Sana kufanya Video zako za Tiktok ambazo unahisi endapo mtu atazitazama lazima avutiwe nazo na kufanya Azilike azi comment na Afollow hiyo Account yako Kwani zitakua Zimetangulia mbele ya Videos zako kwa kuzi Pin
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Jinsi ya Kupost Reels katika Account yako ya Facebook
Videos za Reels zimekua ni Videos pendwa kwa watu wanao tumia mitandao ya kijamii kwa hivi Sasa na ukiperuzi kidogo unakutana na Videos za Reels, Je unataka nawewe Kupost Reels katika Account yako ya Facebook Lakini haujui Video hii itakupa muongozo
๐Ÿ†• Apple imetangaza MacBook Pro mpya za inchi 14 na 16 zenye chipu za M4 Pro na M4 Max.

MacBook mpya zina DisplayPort 2.1 kupitia USB-C na Thunderbolt 5, ambayo inakubwa USB4. M4 Pro ina CPU ya 14 na GPU hadi 20, wakati M4 Max ina CPU 16 na GPU hadi 40.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

I Got THIS Easy Python Question Wrong
I got this easy Python question wrong.