Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
1️⃣ Theft Detection Lock

Simu za Android sasa zinaweza kutambua kama mwizi ameikwapua simu kutoka mkononi.

Mfumo mpya unaweza kugundua simu imeibiwa au kuchukuliwa kwa kasi kutoka mkononi mwa mtumiaji. Ikiwa simu itatambua hivyo, itajifunga yenyewe mara moja.
1
2️⃣ Offline Device Lock

Kipengele hiki kitasaidia simu ijifunge yenyewe ikiwa nje ya mtandao, hivyo itamzuia mwizi kubadilisha email, password na taarifa za muhimu kwenye simu.

Pia itampa muda mmiliki wa simu kwenda online kwa kutumia kifaa kingine na kuiripoti simu yake
🆕 Snapdragon 8 Elite imezinduliwa na Qualcomm ikiwa na CPU ya Oryon, GPU ya Adreno yenye ongezeko la 40% ya utendaji, na NPU mpya inayofanya kazi za AI kwa kasi ya 45%.

Modem ya X80 5G inatoa kasi ya Gbps 10.

Itatumika katika Asus, Honor, OnePlus, Oppo, Samsung, na Xiaomi.
🔥1
CentOS ni mfumo ambao unatumika na wafanyakazi wa Meta (Instagram, Facebook, Horizon, WhatsApp na Instagram.

CentOS inatumika na developers wakubwa kwa sababu ya utulivu wake, usalama mkubwa, open-source, ipo free, na uwezo wa kubinafsisha mifumo yao kwa urahisi.
👍1
🆕 WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuweka wimbo kwenye Status za WhatsApp.

🎵 Sehemu hii mpya itawezesha watumiaji wa WhatsApp kutafuta wimbo na kuuweka kwenye picha au video za WhatsApp Status.
👍1
Nini kilitokea? 2021, Qualcomm ilinunua Nuvia, startup iliyotumia teknolojia ya ARM kutengeneza CPU za Oryon.

Qualcomm ilidhani Nuvia inatosha kuwa na teknolojia za ARM kumbe leseni ya Nuvia inaisha.

ARM ilikuwa inaichora tu Qualcomm na sasa kuvunja leseni ili kuikomesha.
👍1
⚔️ Kampuni ya Arm imetoa notisi ya siku 60 ya kusitisha leseni yake ya teknolojia inayotumika na chip za Qualcomm

Hatua hii inaweza kuvuruga uwezo wa Qualcomm kubuni chipu za Snapdragon kwa simu

Kusitishwa huku kunaweza pia kusababisha uhaba wa simu za Android na kuongezwa bei
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuweka | Biashara au Huduma | Kwenye Google Map
Kama unataka Biashara yako au Huduma unayo itoa Iyonekane na watu wengi ndani na Nje ya Nchi Njia Bora Ni kuiweka Kwenye Ramani yaani Google Map,Je unatamani kuweka Lakini hauwezi? Ondoa Shaka leo utaweza angalia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

NAMNA YA KUTAMBUA IPHONE FEKI, USIJE UKAUZIWA KAMA IPHONE ORIGINAL