Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.62K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mpya ! Jinsi ya Kurudisha Email Iliyopotea yenye YouTube Channel
Umepoteza Email ambayo ilikua ndiyo imebeba YouTube Channel yako, Na unatamani uirudishe Tena Tazama njia hizi zikusaidie
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The Tri Folding Phone Impressions!
Huawei Mate XT is the tri-fold phone, a concept come to life

Shoutout to dbrand for finding a way to buy this thing. They make skins for other phones: http://dbrand.com

MKBHD Merch: http://shop.MKBHD.com

Tech I'm using right now: https://www.amazon.com/shop/MKBHD

Intro Track: http://youtube.com/20syl
Playlist of MKBHD Intro music: https://goo.gl/B3AWV5

~
http://twitter.com/MKBHD
http://instagram.com/MKBHD
http://facebook.com/MKBHD
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ona CHINA Yajenga Barabara kwa Ai tu bila wafanyakazi.
China yawa nchi ya kwanza kujenga barabara kwa kutumia Ai,
Ni barabara ya km 158 hughway
🆕 Wayback Machine imeanza kufanya kazi tena baada ya kuwa haipatikani kwa siku kadhaa, lakini baadhi ya vitu vinaonekana kufutwa kwenye kumbukumbu.
Tunaomba kushare uzi huu ili kuwasaidia watumiaji wengine wa Android kufahamu mabadiliko haya muhimu.

Tunashukuru kwa ufuatiliaji wako 🙏
Lock Screen za simu mbalimbali

Google Android 15 : Apple iOS 17 : Samsung OneUI 6.1 : Xiaomi HyperOS : Honor MagicOS
1
🆕🔐 Kama unatumia simu ya Android usiache kufahamu kufahamu haya mabadiliko mapya ya kiusalama katika simu zote za Android 10 mpaka Android 15
1
Tupambane tufike huku 🎯

Wiki Njema Wanateknolojia wote 🦾
3️⃣ Remote Lock

Sasa watumiaji wa Android wanaweza kuifunga simu yao wakiwa mbali na simu kwa kutumia tovuti ya android.com/lock

Hii itasaidia kui-lock simu kama ilikuwa haina lock

Pia utaweza kuifunga simu ukihisi haipo katika mkono salama au mtu mwingine ameichukua
1
1️⃣ Theft Detection Lock

Simu za Android sasa zinaweza kutambua kama mwizi ameikwapua simu kutoka mkononi.

Mfumo mpya unaweza kugundua simu imeibiwa au kuchukuliwa kwa kasi kutoka mkononi mwa mtumiaji. Ikiwa simu itatambua hivyo, itajifunga yenyewe mara moja.
1