Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Mwonekano mpya earbuds mpya za Oppo Enco X3
🔥1
🆕 Prada na Axiom Space wamezindua mavazi mapya ya anga kwa misheni ya NASA ya Artemis 3, yakionyesha ushirikiano wa kipekee kati ya teknolojia na mitindo ya kifahari.

🚀 Mavazi haya yatatumika katika safari ya kwenda kwenye Mwezi 🌘 mwaka 2026.
🆕 WhatsApp inakuja na kipengele kipya kitakachoruhusu watumiaji kuchagua emojis za walizotumia hivi karibuni - katika sehemu ya Reactions.

Tray ya hisia itazungushwa, na kuondoa kikomo cha sasa cha emojis ambazo umetumia hivi karibuni ni sita.
Utofauti wa miaka 40 kwenye kompyuta
🆕 Ferrari imezindua gari jipya la F80, likiwa na bei ya Dola Milioni 3.9 (Bilioni 10.6 TZS). Gari hii yenye injini ya kisasa V6 turbocharged na mota tatu za umeme, inafikia spidi ya 350km/h.

Magari 799 yameuzwa, na wateja watapata deliveries zao mwishoni mwa 2025.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuzuia | Simu kuita Ukiwa ume Connect | na Bluetooth Speaker
Bluetooth speaker Ni kifaa ambacho kinatoa muziki kwa kuunganishwa na Simu Ikitokea Unasikiriza muziki na vitu vya Simu vikawa vinaingilia mfano Calls, Text messages, Au Notifications kwakweli itakukata Moon Ni vipi Unaweza Kuzuia Haya yasitokee wakati ume Connect Simu na Bluetooth Speaker Jifunze hapa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Leaning Tower of Pisa | The Incredible Physics behind its Lean
Let's explore the detailed physics behind the Leaning tower of Pisa. You might be aware that my educational business is going through a financial trouble. Your support at Patreon at Patreon will be a great help for us - https://www.patreon.com/Sabins
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuzuia | Mtu Asipekue Simu yako | Bila kutumia App Yoyote
Kuna wale watu ambao akiomba Simu kwa lengo Fulani, Baada ya kumaliza hiyo shida yake Anaanza kupekua sehemu nyingine zisizo muhusu mfano Kwenye Gallery ya simu yako kuangalia picha na Videos au Kwenye File Manager au Contacts zako nimekupa njia ya kuwakomesha hao watu, Ni Settings tu hautatumia App Yoyote
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

IC holder
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Spotify kwa sasa inajaribu kipengele kitakachoruhusu watengeneza "playlists" kutengeneza cover art za playlists zao kwa kutumia kipengele cha kuhariri ndani ya Spotify.

Kipengele hiki cha "Create Cover Art" kwenye Spotify kinajumuisha font ya Spotify Mix, madoido, picha, nk.