Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.62K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make simple dc motor speed control circuit, electronic projects, pwm how to build
Motor speed controller tutorial - PWM how to build
Electric motor speed controller. In this video we learn how to design a simple PWM speed controller for a DC motor learning how current flows in the circuit and what each component does. You can even build the circuit yourself!
****************************
Owon XDM1241 Mini Desktop Digital Multimeter 55,000 Counts High Accuracy True RMS Universal Meter with
🚨 Unakuta umekaa zako kimya, upo busy na mishe zako, anatokea mtu pembeni anaangaalia video mitandaoni kwa sauti kubwa na kuondoa ukimya kwenye eneo.

Tabia hii kiukweli inakuwa sio poa kabisa. Watu wanatakiwa kujifunza kuangalia mitandao kwa ukimya bila kusumbua watu wengine.
🆕 Mwonekano wa simu mpya ya Oppo Find X8
🆕 Mwonekano wa simu mpya ya Oppo Find X8 Pro https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1846505086664557029#m
👍1
🆕 Mwonekano mpya earbuds mpya za Oppo Enco X3
🔥1
🆕 Prada na Axiom Space wamezindua mavazi mapya ya anga kwa misheni ya NASA ya Artemis 3, yakionyesha ushirikiano wa kipekee kati ya teknolojia na mitindo ya kifahari.

🚀 Mavazi haya yatatumika katika safari ya kwenda kwenye Mwezi 🌘 mwaka 2026.
🆕 WhatsApp inakuja na kipengele kipya kitakachoruhusu watumiaji kuchagua emojis za walizotumia hivi karibuni - katika sehemu ya Reactions.

Tray ya hisia itazungushwa, na kuondoa kikomo cha sasa cha emojis ambazo umetumia hivi karibuni ni sita.
Utofauti wa miaka 40 kwenye kompyuta