Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Pia Tesla imezindua Robovan yake mpya, gari la umeme lisilo na dereva lenye uwezo wa kubeba abiria 20.

Gari hili linajiendesha lenyewe, likilenga kupunguza msongamano na kutoa huduma za usafiri kwa gharama nafuu.
Tesla imezindua Cybercab (Robotaxi) katika event ya ‘We, Robot’.

Gari hii haina dereva, steering-wheel wala brakes - inajiendesha yenyewe kwa mfumo wa hali ya juu zaidi.

Bei itakuwa chini ya TZS 82M na itatoka mwaka 2026. Teknolojia inazidi kuleta magari ya kesho leo!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

Xiaomi redmi a2 plus (water) dead mode flash without unlock bootloader
Xiaomi redmi a2 plus dead mode flash without unlock bootloader

link
https://drive.google.com/file/d/154c1dvNsUsMvh_HjqKUcV_EW4EknbMTp/view?usp=drivesdk

pass: techshow

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

Jinsi ya kufanya Simu yako Isijae Kama ni Mtumiaji wa Android phone
Zipo settings nyingi Sana za kuwezesha Simu Isijae mapema na hii ni mojawapo ambayo itakusaidia kupunguza visivyo hitajika Kwenye Simu pia kuifanya Simu iweze KU perform vizuri
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

A52s A528B u9 frp bypass/easy jtag plus
Samsung A528B u9 frp bypass
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

Tofauti Kati ya Wi-Fi na Internet | Je, Wi-Fi Ni Internet? Utajua Leo!
Je, umewahi kusema 'Wi-Fi yangu haifanyi kazi' lakini hujui tatizo liko wapi hasa?

Watu wengi wanachanganya kati ya Wi-Fi na internet, lakini leo tunaleta ufafanuzi rahisi na wazi kuhusu tofauti kati ya vitu hivi viwili.

Katika video hii, utajifunza Wi-Fi ni nini, internet ni nini, na tofauti zao kuu. Tutaeleza kwa mifano rahisi na vidokezo vya kukusaidia kutatua matatizo yako ya mtandao kwa urahisi. Je, upo tayari kuwa m
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

I Build REAL V8 Engine,This Tiny Engine Growls like a Beast, Engine Model Kit
to buy from here👇👇
Cison V8 engine kits: https://bit.ly/3zXtXLW
Stirlingkit Must-have v8 engine kits: https://bit.ly/3Wzg13j
@Stirlingkit
Miniature FLATHEAD 8 Cylinderline Engine Assembly & RUN!
Building a HIGH Revving - Cylinder Mini Engine
The Miniature CISONline OHV V8 Cylinderline Engine Assembly & RUN is not only a masterpiece but also a perfect example of engineering marvel. This engine is designed to run smoot
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia

Tengeneza pesa online kwa Tovuti hii MPYA, ingiza pesa kwa smartphone yako
Pata pesa online kwa njia hii rahisi kupitia simu yako.

Link:-
https://trickside7.blogspot.com/2024/10/how-to-make-money-online-with.html?m=1

Tengeneza pesa mtandaoni kwa kufanya kazi rahisi ndogondogo (Micro jobs)
How to make money online

#howtomakemoneyonline