Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.62K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

I Build REAL V8 Engine,This Tiny Engine Growls like a Beast, Engine Model Kit
to buy from here👇👇
Cison V8 engine kits: https://bit.ly/3zXtXLW
Stirlingkit Must-have v8 engine kits: https://bit.ly/3Wzg13j
@Stirlingkit
Miniature FLATHEAD 8 Cylinderine Engine Assembly & RUN!
Building a HIGH Revving - Cylinder Mini Engine
The Miniature CISONine OHV V8 Cylinderine Engine Assembly & RUN is not only a masterpiece but also a perfect example of engineering marvel. This engine is designed to run smoothly
🆕 Meta na Universal Music Group wameingia mkataba mpya utakaowezesha watumiaji wa WhatsApp kutafuta na kuweka nyimbo kwenye Status zao, sawa na Instagram Stories!

🎶 Watumiaji sasa watapata njia mpya ya kuonyesha hisia zao kupitia muziki kwenye Status. #WhatsApp
👍1
🔥 Dimensity 9400 ni moto wa kuotea mbali.

Imeipita mbali sana chip ya iPhone 16 Pro Max.

Imagine chip ya simu ina nguvu kuliko chip ya M1 ambayo inawekwa kwenye laptops.

MediaTek imechukua nafasi ya kwanza kwenye chip bora za simu.

Chanzo: Geekerwan
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ficha Files zako Katika Simu Bila ya kua na App Yoyote
Itakusaidia Sana kuondokana na Tatizo la kujaza Simu kwa Install Application mbali Mbali zaku Hide Files zako Kama Videos, Music Songs, Pictures (Images) na Documents tofauti tofauti Kujua jinsi ya kuficha hizo file njia hizi hapa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung A528B jtag pinout /frp bypass
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

TOTAL IDIOTS AT WORK CAUGHT ON CAMERA
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
🆕 Pia Tesla imezindua Robovan yake mpya, gari la umeme lisilo na dereva lenye uwezo wa kubeba abiria 20.

Gari hili linajiendesha lenyewe, likilenga kupunguza msongamano na kutoa huduma za usafiri kwa gharama nafuu.
Tesla imezindua Cybercab (Robotaxi) katika event ya ‘We, Robot’.

Gari hii haina dereva, steering-wheel wala brakes - inajiendesha yenyewe kwa mfumo wa hali ya juu zaidi.

Bei itakuwa chini ya TZS 82M na itatoka mwaka 2026. Teknolojia inazidi kuleta magari ya kesho leo!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi a2 plus (water) dead mode flash without unlock bootloader
Xiaomi redmi a2 plus dead mode flash without unlock bootloader

link
https://drive.google.com/file/d/154c1dvNsUsMvh_HjqKUcV_EW4EknbMTp/view?usp=drivesdk

pass: techshow

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kufanya Simu yako Isijae Kama ni Mtumiaji wa Android phone
Zipo settings nyingi Sana za kuwezesha Simu Isijae mapema na hii ni mojawapo ambayo itakusaidia kupunguza visivyo hitajika Kwenye Simu pia kuifanya Simu iweze KU perform vizuri