Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.62K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Mwonekano mpya wa HarmonyOS NEXT
🆕 Mwonekano wa simu mpya za Samsung Galaxy S25 https://twitter.com/UniverseIce/status/1843816590703497632#m
Screenshot nyingine
🆕 ChromeOS imeanza kuwa na app maalum ya kurekodi sauti kwenye Chromebook
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

What does '__init__.py' do in Python?
In today's video we're going to be learning about __init__.py and what it actually does in Python.

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Vitu 5 Usivyovijua Kuhusu Steve Jobs | Safari Yake ya Mafanikio na Teknolojia ya Apple
Katika video hii ya kipekee, tunachunguza mambo matano usiyoyajua kuhusu Steve Jobs, mwanzilishi wa Apple na mmoja wa watu mashuhuri zaidi katika ulimwengu wa teknolojia.

Ingawa wengi wanamfahamu kwa uvumbuzi wake wa iPhone, iPod, na iMac, kuna mambo machache yanayovutia sana kuhusu maisha yake binafsi na safari yake ya kipekee ya mafanikio.

Je, ulijua kuwa Steve Jobs alikuwa mpenzi mkubwa wa muziki, na ndi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

PM6125 power ic
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Simu za Google Pixel za Bei Chini ya 400,000
Simu za Google Pixel zenye bei rahisi
Simu za bei rahisi, simu nzuri

Unatafuta simu bora za Google Pixel kwa bei nafuu? Katika video hii, nakuonyesha simu za Google Pixel 6 na toleo zilizotangulia ambazo unaweza kupata chini ya TZS 400,000.

Pixel 6, Pixel 5, Pixel 4, na Pixel 3a. Simu hizi ni chaguo bora kwa wale wanaotaka simu imara bila kuvunja benki. Tazama video hadi mwisho ili ujue wapi pa kupata ofa bora na punguzo!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kujua Nani Ameona Post zako katika Profile ya Tiktok
Unapotaka kuona Nani Ameona Post zako katika Profile yako ya Tiktok ni lazima uset ili Option hii iweze kufanya kazi, Unawezaje kuset Mimi nipo hapa kukupitisha hatua kwa hatua ujifunze

Subscribe BIG TALENT TZ YouTube

Facebook as Salum Suleimani

Instagram as Salu.White

Tiktok as Salu.White

WhatsApp link on YouTube Description

Email address. Salumnauma4@gmail.com

...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

كيفية إصلاح المصباح الكهربائي المحترق! #shorts
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya | Ku Stop Notifications | Katika Facebook Groups |
Kuna Magroup mengine yana ongoza kwa kupost kila wakati ukienda Kwenye sehemu ya Notification utaona Zimejaa Post zao tu na Kama hazina maadili mazuri Basi zitakua zinakunyima Raha, Unaweza ukastop hizo Notifications kwa njii hii
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi 12c imei repair free tools / meta mode
Xiaomi redmi 12c imei repair free tools / meta mode

link

https://drive.google.com/file/d/14RTfGAidFZ9qYrJEdQMOL07EXDFbP21h/view?usp=drivesdk

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

MSIBA, App ya PESAX Yafungiwa Rasmi kwa kuvujisha Taarifa za watu wanao kopa
App ya mikopo ya pesax, imefungiwa kwa kuvujisha taarifa za watumiaji wake.

Mikopo kwa njia ya simu ya mkononi.
App za mikopo

Katika video hii, tunazungumzia kuhusu kufungiwa kwa app ya Pesax kwa sababu ya kuvujisha taarifa zako za kibinafsi. Tunachunguza ni nini kilichosababisha hatua hii, jinsi inavyoathiri watumiaji, na ni hatua gani unapaswa kuchukua ili kulinda taarifa zako. Jifunze kuhusu hatari zinazohusiana na