Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

v inverter 2000w test discharging current Comparison old and new version DATOU BOSS DN-03
100Ah battery12v inverter 2000w test with maximum continuous discharging current Comparison between the old and new version of DATOU BOSS DN-03 converter
Maximum discharge current test of 12V 100Ah lithium battery with 1280Wh capacity from DATOU BOSS brand with 12V 2000W inverter from Datouboss brand, the result requires two 12V 100Ah batteries to equal the inverter capacity, to operate home appliances with
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Fanya hivi kama Batani za Simu yako zinagoma Kubonyezeka
Usipeleke kwa Fundi, Tatizo dogo kama hili akakulia Pesa yako.Jifunze jinsi ya kurekebisha batani za Simu ambazo zinagoma Kubonyezeka kwenye Simu ndogo za Batani
👍1🔥1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mercedes Benz ML on sale | Call 0756445759 Price 140M Cc 3000 Fuel Diesel Mwaka 2014 #snashmotors
📺 Usikose kutazama makala hii mpya ambao inapatikana Netflix.

💡 Utajifunza mengi kuhusu mwelekeo wa Akili bandia na mambo mbalimbali kuhusu maisha, dunia na uchumi kwa ujumla - katika miaka ijayo.
🆕 PlayStation Network ilikuwa down na kupelekea watumiaji wa PS5 na PS4 kulazimika kucheza offline
🎬 DUNE itakuwa na series mpya ya "Dune: Prophecy" ambayo itaanza kutoka Novemba 2024.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mafunzo ya Adobe Photoshop kwa Wanaoanza - Jifunze Hatua kwa Hatua | Sehemu ya 1
Karibu kwenye mafunzo ya msingi ya Adobe Photoshop! 🎨📸

Kwenye video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutumia Adobe Photoshop kuanzia mwanzo kabisa. Ikiwa wewe ni mgeni kwenye programu hii maarufu ya kuhariri picha (Photo Editing), basi uko mahali sahihi. 👌

Tutaanza kwa kuelezea jinsi ya kufungua Photoshop na kuelewa vipengele vyake vyote muhimu, kama vile:
Toolbox - zana muhimu za kuhariri
Layers Pa
1👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Subaru collection kutoka kwetu #snashmotors Wasiliana nami kupitia 0756445759
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

IC stenciling
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Njia Mpya ya | ku Upload Video YouTube | katika Yt Studio
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Understanding a Zero Tolerance Machining through this Cute Cube!
Please meet Metmo cube, fabricated through a machining process called Wire EDM. I hope you enjoyed this vlog video. I will truly appreciate your support on Patreon - https://www.patreon.com/Lesics so that we can sustain our educational service.
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutengeneza WhatsApp Channel kwenye Simu yako
Fuatisha maelekezo niliyokupa ili Kutengeneza Channel yako ya WhatsApp utakayo itumia katika shughuri zako Mbali Mbali
1👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi 10 selene nv data corrupted/ rsa Solution /imei repair
Xiaomi redmi 10 selene nv data corrupted/ rsa Solution /imei repair
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kujua Kama Kuna mtu AmekuDivert na Jinsi ya Kujitoa
Inapo tokea unawasiwasi na kuhisi huenda Kuna mtu anakufanyia ujanja kwenye Simu yako ili kugundua Hilo basi fanya haya Mambo kujihakikishia Kama ni kweli au sio kwe, ikiwa ni kweli utajifunza Jinsi ya kujitoa
Sasa hivi watumiaji wengi wa WhatsApp wameanza kupata sehemu ya ku-like Status za marafiki katika WhatsApp.

Mabadiliko haya yalianza mwezi wa nane kama sehemu ya majaribio. Hivi sasa kuna watumiaji wengi wanaipata sehemu hii.
👍1
🆕 Microsoft Office 2024 tayari imeanza kupatikana kwa watumiaji wa Macs.

🔘 Imeanza kwa gharama ya TZS 407,000
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
YouTube itaanza kuruhusu Shorts zenye urefu wa dakika 3 kuanzia tarehe 15 Oktoba – imeelezwa na Todd Sherman, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Bidhaa, YouTube Shorts.

Pia video zenye uwiano wa kipengele cha mraba 1:1 na video zenye urefu zote zitachukuliwa kama Shorts.

#YouTubeShorts