Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
PS5 Pro 🔥
🔥1
Design 🔥
🔥1
Tony & Chelsea Northrup - wameonyesha mfano mzuri wa utofauti kati ya 48MP ya iPhone na 48MP ya kamera ya kawaida ya Sony.

Chanzo:
🆕 iPhone 16 zitaanza kutengenezwa Brazil 🇧🇷
👍1
📸 Apple imelaumiwa na wataalam mbalimbali wa kamera, kuwa inadanganya na kupotosha kuhusu uwezo wa kamera ya iPhone 16 Pro.

📸 Picha ambazo zinaonyesha ulingano wa kamera za 48MP ni tofauti na picha za iPhone.

⚠️ Inasemekana Apple inatumia software na sio uhalisia.
Ratiba ya Apple Intelligence kuongeza lugha za mataifa mbalimbali.

Apple bado ipo nyuma ya Google, Copilot na OpenAI katika kutoa support kwenye lugha mbalimbali mfano Kiswahili.

Bado Kichina kitachelewa, jambo ambalo litaangusha mauzo ya soko la Apple Asia. https://twitter.com/theapplehub/status/1836493532833681877#m
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

check RF by oscilloscope
How to Check the RF Antenna Section with an Oscilloscope

Connect the Oscilloscope Probe: First, connect the oscilloscope probe to the RF input. Ensure the probe is properly calibrated.

Initial Settings: Turn on the oscilloscope and set the initial settings such as Volts/Div and Time/Div. These settings help you clearly view the signal.

Set the Trigger: Adjust the trigger to stabilize the signal on the screen. This helps you analyze the signal more effectively.

Observ
🆕 WhatsApp itaongeza themes mpya na styles za mwonekano wa chats
🔥1
🆕 Cover na Topic mpya ya The Economist https://twitter.com/TheEconomist/status/1836707359726489708#m
Kwa ambayo yanaonekana duniani kwa sasa.... Ni muhimu kuwa na simu ya Huawei pembeni.

Mchina anazidi kuaminika zaidi ya Mmarekani.

Hizi Android, iOS, Meta, Google zinatumika sana na majasusi wengi.

Bora China haina mashirika mengi ya kijasusi ya kuyapatia data zako. #MtazamoTu
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kurudisha Tena Video yako Iliyofutwa YouTube
Fanya hivi kurudisha video yako uliyo Upload YouTube ikaondolewa kutokana na sababu mbali mbali na kufanya video hiyo kutokidhi vigeezo jifunze
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutumia namba Mbili kwenye Whatsapp Moja
Utaweza Kutumia File moja tu la WhatsApp katika simu yako na kuweka namba Mbili ambazo utaweza kuzitumia kwa wakati mmoja, utu akikutafuta kwa namba ile anakupata WhatsApp na akikutafuta kwa namba hii anakupata
Huu mzigo upo kwenye simu nyingi sana
Huu mwonekano ni mkali sana 🔥
🔥1