Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Hii habari ya Pagers za Lebanon kulipuka, inaacha maswali mengi sana kuhusu usalama wa vifaa vya mawasiliano!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Instagram itaanzisha aina mpya ya akaunti ya Teen Accounts - hii itakuwa ni maalum kwa watumiaji wa miaka 13 mpaka miaka 15
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

THIS Trick Is Kind Of Crazy In Python
This trick is kind of crazy in Python.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

itel a665l A70 imei repair
itel a665l A70 imei repair
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

JIONEE MABASI MAPYA YA MWENDOKASI - MWENDO WA SCANIA MARCOPOLO.
Haya ndio mabasi yanayotegemewa kuingia katika huduma ya Mwendokasi Dar es Salaam. Scania Tanzania wameshare ila hawajasema ni lini hasa mabasi haya yatakuja nchini.
📊 Threads imeipita X/Twitter kwa kuwa na downloads nyingi!
🚗 Consumer Reports imechambua magari zaidi ya 330,000 na kuja na orodha hii ya chapa za magari zinazoaminika zaidi.

Lexus inachukua nafasi ya kwanza! Je, gari lako liko kwenye orodha?
PS5 Pro 🔥
🔥1
Design 🔥
🔥1
Tony & Chelsea Northrup - wameonyesha mfano mzuri wa utofauti kati ya 48MP ya iPhone na 48MP ya kamera ya kawaida ya Sony.

Chanzo:
🆕 iPhone 16 zitaanza kutengenezwa Brazil 🇧🇷
👍1