Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🗓️ Leo saa 9 Jioni, kampuni ya Honor itakuwa na event yake ya Honor IFA 2024

Honor itaelezea kuhusu AI yake

🆕 Pia itatoa tab ya MagicPad 2 na laptop ya Windows ya MagicBook Art 14
🆕 Trailer ya tangazo la event mpya ya HONOR IFA

Na namna simu za Honor zitakuwa na akili bandia mpya. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1831616994145112138#m
👍1
🆕 Google Form sasa imeanza kuwa na akili bandia ya Google Gemini.

🆕 Itakuwa ni rahisi kuomba AI ikusaidie kutengeneza maswali na form maalum ambayo utaweza kuitumia katika Google Form
Inspiration
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🫡 Simu ya Honor Magic V3 ni simu inayoongoza kwa sasa katika ubora na design ya simu ambazo zinajikunja (foldable phone).

👏 Imeonyesha uimara wa simu hii.

Ni simu ya kujikunja lakini ni imara than most of the smartphones za kawaida
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tumia App hii Kama Simu yako ina tatizo la Crack
Unapopata tatizo la Crack Katika Simu usiwe na shaka unaweza kuendelea kuitumia kama kawaida kwa kutumia Application hii
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

BGA 254 stencil
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
🆕 Instagram imeanza kuonyesha idadi ya Followers wa Facebook, na sehemu hii ya Links ambayo inaonyesha akaunti nyingine za mitandao mingine; sasa idadi ya Followers inaonekana.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

vacuum tubes, How does it work and what are the electronic applications used?
vacuum tubes explained,vacuum tube ,amplifierdiode,transistor
Description:
The CHEAP and LEGAL OEM software key for you!!!
50% off Coupon Code:【VDE50】
Windows 10 Pro (8€) https://bit.ly/3yv6qBH
Windows 11 Pro (14€) https://bit.ly/4dKxaNu
Windows 11 Pro - 2 PC (26€) https://bit.ly/3X28BGf

62% off Coupon Code:【VDE62】
Office 2021 Pro (29€) https://bit.ly/4dGiC1e
2 Office 2021 Pro Pack - 52€ (26€/PC) https://bit.ly/4fZBDO
🆕 Intel imetangaza CPU zake za kwanza za Lunar Lake (Core Ultra 200V) kwa laptop, zikidai kuwa na kasi kubwa zaidi ya CPU, GPU bora zaidi duniani, na utendaji wa juu zaidi wa AI.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Pretty woman,Movie Kali ya 1990 ya Mapenzi

Pretty woman , Movie Kali ya 1990 ya Mapenzi