Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Usiyojua kuhusu Android phone | Settings zilizo jificha
Unaweza kutumia simu za Android kwa muda mrefu lakini pasipo na kujua kua hizi setting zipo kwenye simu na nimuhimu kuzifahamu kwa matumizi mbali mbali ya simu yako, Bila mtu anaejua kukuelekeza hautaweza kujua zinapatikana wapi? Na zinafanyaje kazi. Ungana na video hii nikujuze kwa undani.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuzuia | Matangazo kwenye Website yoyote |
Matangazo ambayo hua yanajitokeza kwenye Website pasipo kuyahitaji, Wakati mwingine unashindwa kuendelea kabisa kutokana na kukithiri kwa matangazo hayo, Nimekuletea Njia ya kuyazima matangazo na uingie mtandaoni kwa furaha karibu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

PEOPLE GO ON AN AMUSEMENT RIDE AND INSTANTLY REGRET IT
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
🔵 Hizi ni generation nne za iPhone ya Blue
Bluesky imeona ongezeko la watumiaji wapya zaidi ya 500,000 ndani ya siku 2 zilizopita, ni baada ya mahakama kuifungia X (Twitter) kuendesha shughuli zake nchini Brazil.

Bluesky pia imetangaza rasmi toleo jipya lijalo la aplikesheni yake litakuwa na kipengele cha video.
🆕 Instagram imeweka sehemu ya kuzuia watu wasiweze kuikuza profile picture yako kwa urahisi, na kuzuia picha na video zako zisipatikane Google na kwenye search engine nyingine.
🆕 WhatsApp imeanza majaribio ya kuweka uwezo kwa watumiaji kutengeneza list zao binafsi.

Kwa sasa sehemu ya juu ya chats ina makundi ya Unread, Favourites, na Groups katika WhatsApp Business. Muda si mrefu watumiaji wataweza kutengeneza list zao binafsi na kuandika jina la list
🆕 Akili bandia ya Gemini sasa inaweza kusoma aina nyingi za faili:

🔘 Faili za Nyaraka: TXT, DOC, DOCX, PDF, RTF, DOT, DOTX, HWP, HWPX, na Google Docs.
🔘 Faili za Takwimu: XLS, XLSX, CSV, TSV, na Google Sheets.
1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi poco C40 frp bypass without pc , activity launcher not show
Xiaomi poco C40 frp bypass without pc , activity launcher not show
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These a
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Rock, Paper, Scissors with GPT-4o
Say hello to GPT-4o, our new flagship model which can reason across audio, vision, and text in real time.