Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Honor Magic V3 itakuwa simu ya kwanza kuwa na mfumo wa 'AI Defocus Eye Protection'

- Mfumo wa AI Defocus ni mfumo ambao unatumia algorithimu maalum kulinda macho.

- Teknolojia hii inatumika kwenye miwani za DIMS kudhibiti ukuaji wa urefu wa axial ya jicho kwa 13%.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Building A DIY NAS On A Budget ? Is THIS your next NAS - ZimaBlade
ZimaBlade 7700 NAS KIT
ZimaBlade Official Shop: 【 https://bit.ly/3T83kKP
ZimaBlade Personal NAS:【 https://bit.ly/3X47HHY
ZimaBlade on Amazon:【 https://amzn.to/3SYEcpF
****************************
Building a sleek x86 2 Bay DIY NAS setup for $160, compatible with TrueNAS, OMV, and CasaOS.
Media and entertainment, or as a smart home server, or even in a compact cluster setup.
A simple desktop-grade mini-host with GPU or AI e
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Instagram imeongeza muonekano wa Vinyl ndani ya Instagram Stories katika sehemu ya nyimbo

Watumiaji wa Instagram wanaweza kuchagua kuonyesha wimbo walioweka kwa aina mbalimbali ikiwemo kadi, mashairi na vinyl hii mpya.

#Instagram #InstagramStories #Vinyl
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

🆕 Kampuni ya Tecno imewashangaza watu baada ya kuonyesha simu mpya ya Phantom Ultimate 2 inayotumia kioo cha tri-fold.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Battery operating room is pregnant 😅😁😶
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
⚠️ Ndio maana unaambiwa sio vizuri kushika sana simu za watu, au kuruhusu watu washike sana simu yako.

Simu ni kifaa ambacho kinatembea na vimelea (micro-organisms) sana.

Safisha simu yako mara kwa mara!
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutumia Google Lens na Gemini kwenye Google Chrome | Mwongozo Kamili wa Features hizi Mpya
🔥 Honor imeandika ujumbe wa kuwapa pole watumiaji wa Samsung Galaxy Z Fold kwa kuchagua simu nene kabla ya Magic V3 yake nyembamba kutolewa.

📝 Ujumbe wa kuomba radhi umechongwa pembeni ya simu ya Magic V3 kwa Almasi na imechukua masaa 90 kuandika katika simu moja.
📝 Haya ndio maneno 166 ambayo yameandikwa kwa pin maalum ya almasi pembeni ya simu, ili kuwapa pole watumiaji wa simu za Samsung Galaxy Z Fold

🔥 Hii ni ishara kubwa ya uvumbuzi na ubunifu katika teknolojia, Magic V3 ni simu nyembamba zaidi duniani inapokunjwa ndani, kwa 4.35mm https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1829121902108946729#m
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to install 6KW a home solar energy storage system, 48V inverter, Orient Power
6200W 220Vac 48Vdc All In One Inverter Charger Supports 12 Units in Parallel
sponsors :
@powerwall
Youtube: https://www.youtube.com/@powerwall

1. Off grid Inverter 7.2Kw:
https://www.europe.opsolarbattery.com/product-page/split-phase-inverter-230vac-50hz-48v-7200w?ref=inventor
2. Rack mount 51.2V 100Ah:
https://www.europe.opsolarbattery.com/product-page/48v-100ah-5-12kwh-server-rack-lifepo4-battery?ref=inventor
🆕 Hivi sasa sio lazima kubadili lugha na region kwenye settings ili kuweza kupata mfumo wa Apple Intelligence.

🔘 Hivi sasa Akili Bandia mpya ya Apple Intelligence imeanza kupatikana kwa watumiaji wote wa iOS 18.1, iPadOS 18.1, na macOS Sequoia 15.1; nje ya Marekani.