Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🚗 Canada imeamua kuweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme kutoka China, ikifuata nyayo za Marekani na Ulaya.

🔌 Ni mbinu za kupunguza nguvu soko la magari ya umeme ya China ambayo yanafanya vizuri katika mauzo kutokana na gharama zake ni nafuu.
Instagram imeongeza (fonts) mpya na kufikia jumla ya font 14 huku ikiboresha kipengele cha (text editor) kupitia Instagram Stories.

Pamoja na maboresho ya fonts pia imeongeza effects mbambali za kuhuisha fonts hizo.

#Instagram #InstagramStories
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung A04 A042F frp bypass chimera tools
Samsung A04 A042F frp bypass chimera tools
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
🆕 Honor Magic V3 itakuwa simu ya kwanza kuwa na mfumo wa 'AI Defocus Eye Protection'

- Mfumo wa AI Defocus ni mfumo ambao unatumia algorithimu maalum kulinda macho.

- Teknolojia hii inatumika kwenye miwani za DIMS kudhibiti ukuaji wa urefu wa axial ya jicho kwa 13%.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Building A DIY NAS On A Budget ? Is THIS your next NAS - ZimaBlade
ZimaBlade 7700 NAS KIT
ZimaBlade Official Shop: 【 https://bit.ly/3T83kKP
ZimaBlade Personal NAS:【 https://bit.ly/3X47HHY
ZimaBlade on Amazon:【 https://amzn.to/3SYEcpF
****************************
Building a sleek x86 2 Bay DIY NAS setup for $160, compatible with TrueNAS, OMV, and CasaOS.
Media and entertainment, or as a smart home server, or even in a compact cluster setup.
A simple desktop-grade mini-host with GPU or AI e
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Instagram imeongeza muonekano wa Vinyl ndani ya Instagram Stories katika sehemu ya nyimbo

Watumiaji wa Instagram wanaweza kuchagua kuonyesha wimbo walioweka kwa aina mbalimbali ikiwemo kadi, mashairi na vinyl hii mpya.

#Instagram #InstagramStories #Vinyl
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

🆕 Kampuni ya Tecno imewashangaza watu baada ya kuonyesha simu mpya ya Phantom Ultimate 2 inayotumia kioo cha tri-fold.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Battery operating room is pregnant 😅😁😶
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
⚠️ Ndio maana unaambiwa sio vizuri kushika sana simu za watu, au kuruhusu watu washike sana simu yako.

Simu ni kifaa ambacho kinatembea na vimelea (micro-organisms) sana.

Safisha simu yako mara kwa mara!