Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi ya kuseti | Internet APN | kwaajili ya kufungua Data ya Simu
Hii setting itakuwezesha kufungua Data ya simu yako mpya ama yazamani iliyofutika APN (Access Point Name) kwa haraka na rahisi nimeweka njia kadhaa za kufuata ili kuwezesha data kufunguka kwenye simu. angalia.
πŸ†• App ya Snapchat sasa inapatikana kwenye iPad na inafunguka full screen kwenye iPadOS na kuonyesha details nyingi kwa kutumia nafasi kubwa ya kioo.
πŸ†• Tesla imeongeza uzalishaji wa adapta mpya za NACS hadi 8,000 kwa wiki.

⚑️ Watu wanatarajia kuona chapa tano kubwa za magari ambazo zinategemewa kutumia adapta hizi za kuchaji magari ya umeme.

⚑️ Tesla pia inahimizwa kuboresha miundombinu yake kwa magari yasiyo ya Tesla.
πŸ†• Luca Maestri, ambaye amekuwa CFO wa Apple kwa zaidi ya miaka kumi tangu Mei 2014, atajiuzulu 1 Januari 2025.

- Nafasi yake itachukuliwa na Kevan Parekh, ambaye kwa anaongoza timu za mipango ya kifedha, uhusiano na wawekezaji, utafiti wa soko, na fedha na manufaa katika Apple.
⌨️ Watumiaji wa Raspberry wanafaidi sana, maisha yao yapo simple na wanatumia kompyuta portable na simple sana
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

HANDYMAN TIPS AND TRICKS THAT REALLY WORK
https://www.youtube.com/@dzengen
t.me/generdzen
vk.com/dzengen
zen.yandex.ru/gen

For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
πŸ†• WhatsApp itaweka AR Effects na filters mpya kwenye sehemu ya Calls
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

How to Building AM Radio, Super Simple AM Radio Receiver, Electronics
Super Simple AM Radio Receiver
Altium 365 here : 【 https://www.altium365.com/yt/inventorkr 】
@AtiumOfficial
****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr 】
Circuits diagrams and code here :【https://ko-fi.com/inventorkr/shop】
****************************
JLCPCB 1-8 Layer PCB at $2 - 【 https://jlcpcb.com/?from=inventorKR 】
Sign Up Here to Get $60 New User Coupons
************************
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Harmonizing with two GPT-4o
Say hello to GPT-4o, our new flagship model which can reason across audio, vision, and text in real time.

,,,,,,,,,
πŸ†• Tidal imeleta vipengele vipya vinavyowawezesha wasanii kufuatilia mirabaha na kusimamia faida zao za miziki.

πŸ”˜ Wasanii wanaweza kuona taarifa za IPI na PRO, na kurekebisha gawio la mirabaha. Tidal inajitofautisha na Spotify kwa kuzingatia huduma kwa wasanii.
πŸš— Canada imeamua kuweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme kutoka China, ikifuata nyayo za Marekani na Ulaya.

πŸ”Œ Ni mbinu za kupunguza nguvu soko la magari ya umeme ya China ambayo yanafanya vizuri katika mauzo kutokana na gharama zake ni nafuu.
Instagram imeongeza (fonts) mpya na kufikia jumla ya font 14 huku ikiboresha kipengele cha (text editor) kupitia Instagram Stories.

Pamoja na maboresho ya fonts pia imeongeza effects mbambali za kuhuisha fonts hizo.

#Instagram #InstagramStories