Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

“typing” is getting deprecated in Python
In today’s video we’re going to be talking about the typing module getting deprecated in Python, or to be more specific, how most of it is already deprecated since Python 3.9.

Learn more about this change: https://peps.python.org/pep-0585/

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
🆕 Mwonekano mpya wa simu za Pixel 9a umevuja.

🔘 Google imeondoa “camera bar” na kuweka kingo bapa (flad edges)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Solve the charging cable problem , the solution Magnetic Cables
Buy a MagTame Magnetic Data Cable here! https://magtame.com/?ref=KR
Forget traditional charging cables that get tangled, knotted and cracked, causing the cables to become damaged and stop working at all. Instead of having to buy new cables, just buy the MagTame Magnetic Cable for Life!
****************************
@magtame

****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diag
🆕 Google Messages kwa Android sasa ina kipengele cha kutafuta mazungumzo ya Groups kwenye ukurasa wa Mazungumzo Mapya.

🔘 Sehemu ya “Mazungumzo ya Vikundi” inaruhusu watumiaji kutafuta mazungumzo ya watu wengi kwa kutumia majina ya vikundi na washiriki.
🕰️ Vitu ambavyo vipo kwenye orodha ya "ZILIPENDWA"
🗓️ Apple Even itakuwa ni mwezi ujao Septemba 9 saa 2 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

📲 Ni event ambayo itatambulisha iPhone mpya na mifumo mipya itaanza kutoka kwa watumiaji wote.

Ukiitazama vizuri logo ya Apple katika event hii utagundua ina rangi za Apple Intelligence.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Dyson... Why Do These Exist?
Dyson already made the ridiculous air filter headphones. Now they're back.

The original Dyson nightmare: https://youtu.be/tFdnCzfJPJ0?si=Cor44XLKoek01HWy

MKBHD Merch: http://shop.MKBHD.com

Tech I'm using right now: https://www.amazon.com/shop/MKBHD

Playlist of MKBHD Intro music: https://goo.gl/B3AWV5

Headphones provided by Dyson for review.

~
http://twitter.com/MKBHD
http://instagram.com/MKBHD
http://facebook.com/MKBHD
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Billionaire Pavel Durov arrested... The truth about Telegram
The CEO of Telegram, Pavel Durov, was arrested in France and is facing up to 20 years in prison. Learn how encrypted messaging apps like Telegram and Signal work and why some government officials want to ban them.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi poco x3 poro
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

| How to change image after starting the App
7+ Years of Experience.
Kujiunga na masomo ya kulipia : https://forms.gle/pLEBEPuZgsoPLew7A
===

Hapa ni ulimwengu wa Teknohama (IT (Information Technology)) karibu ujifunze nasi Computer kutokea zeero mpaka kuwa More Than Professional.
-----------

| How to change image after starting the App

-----
- Channel yetu mpya ya Shorts: https://www.youtube.com/channel/UCifYOx_oQuq9__OnyUE4K9A
- NK on TIKTOK : https://www.tiktok.com/@nk_tok1?lang=en

---
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kuseti | Internet APN | kwaajili ya kufungua Data ya Simu
Hii setting itakuwezesha kufungua Data ya simu yako mpya ama yazamani iliyofutika APN (Access Point Name) kwa haraka na rahisi nimeweka njia kadhaa za kufuata ili kuwezesha data kufunguka kwenye simu. angalia.
🆕 App ya Snapchat sasa inapatikana kwenye iPad na inafunguka full screen kwenye iPadOS na kuonyesha details nyingi kwa kutumia nafasi kubwa ya kioo.
🆕 Tesla imeongeza uzalishaji wa adapta mpya za NACS hadi 8,000 kwa wiki.

⚡️ Watu wanatarajia kuona chapa tano kubwa za magari ambazo zinategemewa kutumia adapta hizi za kuchaji magari ya umeme.

⚡️ Tesla pia inahimizwa kuboresha miundombinu yake kwa magari yasiyo ya Tesla.